Namlilia Banjaoo

Namlilia Banjaoo

Kuna watu walitaka kupita na upepo wa utekaji ila baada ya kumjua vizuri mtu mwenyewe aliyefanyiwa tukio wakarudi kwenye default mode chap 😅😅
Hahaha humu ana faili lake tangu 2013 huko ukija mpaka 2024 kwenda 2025 yeye tu anazungumziwa , ngoja nipite hivi
 
hivi nani asieamini kuwa anaweza kua amesamehewa na Mungu kama alibadilika na kutubu
Isaya 1:18 “Haya, njooni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu
 
Huu mkanda unaonekana upo wazi maana hapo km kuna security ya kutosha lazima watakua wameacha fingerprints zao za kutosha yaan wameonwa na waliowaona ndio wanajua full story, sasa tusubirie nini kitafuata dunia haina siri
SIO SECURITY TU HAPO HATA WAPITA NJIA NI SHAZI MATOUR GUIDE KUVIZIA WATALII, WALINZI WA MAKAMPUNI BINAFSI YANI HAPO NDO SERIKALI YA ARUSHA ILIPO TUSEME IKULU YA ARUSHA IPO HAPO
 
Hata hivyo walimkawiza sana huyu mkali! Shida ya ujambazi system waga inachange, wanakuja watu wengine ofisini wanakuta faili lako. 😊

Ujambazi/Umafia watu wanaufanyaga wanapata hela/mtaji wanaachana nao chap, wanahama miji. Sio uweke ujambazi kama lifestyle. Utadinywa tuu kimafia.
 
Ila jamani tusiishi kiujanja ujanja mwisho uwa ni mbaya.
Kuna dogo msauzi pale mapinga katapeli sana watu viwanja.
Kategewa mtego kanasa Sasa hivi yupo jela.bahati yake hawakumuua.je wangemteka nae wakamalizana nae.
Tubadilike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom