Namkumbusha tu his excellency

Mathayo Christopher

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
429
Reaction score
329
Kutokana na ukakasi wa kauli za serikali.napenda kuwakumbusha wahusika kuwa tumeishi kwa ahadi hewa kwa mda mrefu sasa toka sitisho la ajira litoke zimebaki siku 14 ziishe miezi miwili kama hamtuajiri ni bora mtuweke wazi maana mpaka sasa deni la milioni 12 la bodi linaniumiza kichwa ili hali nikipiga hesabu nimepewa milioni 10.bora mtupe mkweli maana IT IS TOO SAD AND PAINFUL
 
Nafikiri ujumbe uwafikie maana *human being is selfish in nature* kwa kuwa wanakula na kusaza hivyo wametusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…