Nilipata kumsikia mtangazaji Wakuhenga ktk DTV akiapia siku moja angependa kujua Bush mdogo alikuja kugawa chandarua kweli hapa Tanzania. Ni hivi karibuni nilimuona Rais huyo wa zamani hapa Tanzania akitokea airport,nilimuuliza dereva wangu akaniambia mara nyingi anakuja kinyemela kama mtalii.
Mwenye habari za kiintelijensia atujulishe ni nini kinamleta siku hizi mkuu huyu hapa nchini?