Umenena kweli ndg yaan usimpende mwanamke kiasi hicho maana wengi wanaopenda kiasi hicho huambulia maumivu tu na kubaki kusema namkumbuka sana… .Jikaze. Achana nae. Ogopa xana kuwa na mwanamke unayempenda ivo. Utateseka. Jifunze kumsahau. Usipofata ushaur huu kuna siku utanikumbuka
wanawake ndo wawapende ili tuwe watumwa?Jikaze. Achana nae. Ogopa xana kuwa na mwanamke unayempenda ivo. Utateseka. Jifunze kumsahau. Usipofata ushaur huu kuna siku utanikumbuka
Wote tuseme Ndiokwahiyo
wanawake ndo wawapende ili tuwe watumwa?
Poleni na majukum ya siku nzima....
Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye mahusiano mengne bado namkumbuka hata nikitumiwa msg nzuri na mpenzi mpya nahisi kanitumia yeye.....natafakar nakosa majibu mana hata nikisema nimtafute nashindwa mana baadhi ya ndugu zake walishaniambia ana mtu mwingne tayar.....Ushahuri wenu tafadhali, hapana matusi!!!!