Namkumbuka lakini simtamani

Namkumbuka lakini simtamani

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,098
Nilikuwa na boyfriend wangu, tulipendana sana lakini ikatokea mimi nikahama mkoa ule ambao yeye alikuwa anafanyia kazi. Kwa ahadi ya kukutana kwani muda si mrefu yeye anaanza likizo.

Basi nami pamoja na familia yangu tukahamia Dar ambako hata masomo yangu ya elimu ya juu ninasomea hapa Dar umbali ukawa tatizo, tukawa tunawasliana kama kawaida lakini mwenzangu akaanza tabia ya wivu wa ajabu kiasi kwamba hata kama nipo darasani sijapokea simu yake au kumjbu sms zake ni lazima tugombane.

Nikamvumlia,like no one is perfect may this it is his weakness,or its what it called love. lakini kubwa ya yote ikawa siku moja nipo na wenzangu tunaenda kununua chips kama chakula cha jioni, hiyo sehemu ilkuwa na mziki hivi,mpenzi wangu yule akanipgia nami nikapokea nokamsalimu vizuri lakini nikamtaka radhi,nikamwambia nipo nanunua chakula cha jioni na hapo nilipo pana kelele hivi kiasi kwamba simsikii vizuri.

So, anipe dak. 5 nitampogia, lahaula! ikawa kosa, bwana yule akawa mbogo, akaanza kunitukana na kunisema nipo na ma bwana zangu nikajaribu sana kumuelewesha lakini nilitwanga maji kwenye kinu, alifufua Hadi waliokufa akawapa matusi yao akawarudisha makaburini akawazika upya.

Akaniambia kuanzia hapo nisimpigie simu, klia mtu aendelee na hamsini zake loh! Niliumia mtoto wa kike, chips zikanitumbukia nyongo nikajiliza paleeee mpaka kulipokucha.

Nikapiga simu na kutuma sms siku nzma but it didn't work out, hakupokea simu wala hakujibu Sms zangu ikawa bila bila nikagive up nikaringanisha na tabia zake za wivu na unywaji pombe kupitoliza,nikaona bora yeshee, nikampotezea.

Hapo sasa yeye akaanza kurudi kwangu lakini mimi sikuwa tayari. Sasa basi, nimeanza tabia ya kumkumbuka tho simuhitaji wala kumtamani.

Namkumbuka vituko vyake, kisses zake, romantic conditions zoote zake lakin simhitaji tena Hata kwa kumaikia,Yaani Naona hanogi si kwa chumvi umtie ndimu na pili pili,Wala hanogi kwa sukari.

Just memories, nothing more.
 
Ahsante kwa taarifa.

Kingine tena?

Mkuu, binti yuko field, anajifunza kuandika insha... maswali magumu kama hayo hayatamsaidia

Muache ajifunze kuwa na vipaji... vya kuzaliwa vimeanza kuisha
 
mh...! unamkumbuka lakin haumtaman????? hiyo mpyaaaaa
Mimi mwenyewe ndio namshangaa, asikuambie mtu kama ulikuwa na X wako kama mlikuwa mnapendana hata kama uliachwa kwa kipigo, zile simu zake tu zikiwa zinaingia ile homa ya penzi lenu huwa linakuwasha, ndio maana kuna wapenzi huwa hatuachani nao huwa wanenda na kurudi tu.
 
Namba yake unayo au ulishafuta? Kama unayo, utarudi tu kutuambia kuwa umeshindwa kujizuia na umeachia papuchi tena!
 
Namba yake unayo au ulishafuta?Kama unayo, utarudi tu kutuambia kuwa umeshindwa kujizuia na umeachia papuchi tena!

Ha ha ha haaa, hapa petty bourgeoisie, namba yake hata sana na hata akipiga leo itakiwa namba mpya na hata sna mpango wa kumpa papuchi mie
 
Hahaha comrade, World Cup imetupa sababu na visingizio vingi. Ukichanganya na haka kamsiba jua linaibuka nikichat na michuchu yenye stress zao.

We Asprin mi sana hata stress
 
mkuu, binti yuko field, anajifunza kuandika insha... maswali magumu kama hayo hayatamsaidia

muache ajifunze kuwa na vipaji... vya kuzaliwa vimeanza kuisha

Wewe ndo umesema, insha nshaandka mara kibao labda kama haujui njoo nikufundishe
 
Nimependa facial expression ya avatar yako ingawa ni mtoto...ni body language ya how u feel bout him
 
Mim mwenyew ndio namshangaa, asikuambie mtu kama ulikuwa na X wako kama mlikuwa mnapendana hata kama uliachwa kwa kipigo, zile simu zake tu zikiwa zinaingia ile homa ya penzi lenu huwa linakuwasha, ndio maana kuna wapenzi huwa hatuachani nao huwa wanenda na kurudi tu.

Unashangaa nini sasa??? Kashangae feri sh inazma mel inaelea..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom