Namfundishaje kupenda?

Namfundishaje kupenda?

Naona unataka kubadilisha Usichokiweza, Hakuna kitu kinachoweza kukuharibikia bila kutoa dalili za awali!! Kama utaendelea kupuuza na kusimamia msimamo wako kua utaacha wangapi basi mie nakupa akiba ya maneno!! "Endelea kumwagilia mti utakao kuja kutundika kamba ya kujinyongea
 
unaweza kumfundisha but si kwa kukaa class as teacher na student ila kwakumpa mahitaji ya moyo wake wakati mwafaka! pia uwe mbunifu wa kumfanya muda wote uwe rohoni mwake usimfanye afikirie vibaya kuwa na wewe mfanye ajione mwenye bahati kuwa nawe!!!!!!!!
 
Msome Mkuu watu8 na kisha uchukue hatua muafaka, shule ya mapenzi hakuna na wala haitakuwepo labda mwaka 3,047 ndiyo itaanzishwa. Sepa haraka sana



Chapa lapa wewe...
 
Last edited by a moderator:
Msome Mkuu watu8 na kisha uchukue hatua muafaka, shule ya mapenzi hakuna na wala haitakuwepo labda mwaka 3,047 ndiyo itaanzishwa. Sepa haraka sana



Tayari BAK maamuzi magumu ni jadi yangu!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Good.... congratulations for a very quick decision. Yanini kuumiza moyo wako bure kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wako? Haihusu kitu!!!



Tayari BAK maamuzi magumu ni jadi yangu!!
 
Last edited by a moderator:
kupenda hakufundishwi ndugu haraka haraka haina baraka,tulizana upate aliye sahihi ndoa si jambo la mchezo
 
Wakati unampeleka hiyo shule ya mapenzi, nakushauri anza kutafuta mwanamke mwingine. Kisha mshukuru Mungu kwa kukufunulía maono ya uzinzi wake mapema.

BTW ulishagegeda mzigo? Una uhakika ulishamfikisha mlima Kibo? Anatoa ushirikiano? Ulimkuta bikira?

Mwanamke ukimpa bakora vizuri ikamuingia barabara mpk akakuita baba na kukuomba maji ya kunywa katikati ya kichapo, hata kama alikuwa hakupendi atajikuta analazimika tu kukupenda. Hana jinsi, atafanyaje sasa?
Shkamoo Ticha.
 
Heaven on Earth mwenyewe unanipiga cheeeeenga sijui unahisi mimi kibabu!!
Lets hook up basi. And not out of pity please!

hahaha we kule si ndio ulinipa za uso.kusema wataka
Intelligent and powerful women wakumbuka nilichokujibu.......
 
Ni mwanamke mzuri mmmno. Huyu Mungu jamani sijui kwanini anamwacha shetani atawale hivi!!

acha ushamba weweee.."DEMU MZURI NI YULE AMBAYE HUJAMT$%&*J&***O*((%$NIKO$6&*MBA" ukuwe ujuweeee.
 
Back
Top Bottom