Namdai anasingizia namtongoza!

Ukiona vipi potezea kwani umepoteza vingapi?
 
Mkuu, labda style uliyotumia kumdai imemfanya aseme hivyo.
 
aisee ckuwahi fikiria kama atasema hivo sababu tulikuwa tunaheshimiana sana na sikuwa na nia ya kumtongoza na ckufikiria kama nitakuja mtongoza
 
Lakini we nawe 30,000 tu
embu mpm Bishanga akumpesa mata kumi ya hiyo
mi vihela vidogo mtu akija kukopa huwa naona ni matatizo tu kulipana so namuambia kuwa hiyo hela sina labda nikusaidie(nataja nusu ya hiyo au robo yake kulingana na uzito wa tatizo)bure hata usinilipe kisha tafuta pengine pa kuongezea
hivi vihela vidogo vidogo mwisho wa siku matatizo
sasa ndugu samehe tu hizo hela ila usiwe unawakopesha watu hela
hela ni sheteni iliyotengenezwa na binadamu
 
Last edited by a moderator:
hata mi kuna duu alinililia shida nimkope elfu 50 atanirudishia baada ya siku 3..kilichofuata ni kunisifiasifia "uar a best frnd of me never had b4" kilichofuata baada ya hapo hapokei simu wala kujibu meseji.siku moja nikamtumia meseji ya kawaida 2 nikamchana live nikamwambia sintomdai kamwe,akitaka alipe asipotaka aache.
 
Kweli kabisa na kama huna cash usishangae nikakubakua wewe mwenyewe

Kubakwa na mwanamke nilo tayari kabisa hata sasa hivi, ila tuanzie ANGAZA tupate hati ya kupekua bila buti
 

Yaani unamdhulumu mtu na mama yako anakuunga mkono. I can't imagine your family............Kweli tumepata malezi tofauti!!
 
Tatizo hapa ni jinsi ilivyo vigumu kudaiana na jinsia tofauti, ila hata wanaume wanazulumiana sana hadi unakuta walikuwa marafiki urafiki unaisha unabaki uadui tena mkubwa sana. so ukiona mtu halipi deni lako just leave atakuja tu kwani shida haziishi.
 
Mbona kwa cc watoto wa mjin huyo dawa yake ndogo 2 kama unaishi naye maeneo ya jiran ntakupa technique za kuwashika watoto kama hao huku kwe2 2naxema dawa ya jeuri n kuwa jeuri zaidi yake,kwanza cku hzi m2 ukimwambia eti ananitongoza kwa mwanamke inaonekana we ka miaka ya 90's xema ananiomba K**
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…