Namchukulia kama chombo cha starehe tu

Namchukulia kama chombo cha starehe tu

Mapenz bwaana ukete huko unapopenda nako unalazimisha tu mwangalie kwa jicho jingne mtoto
 
Tatizo show za vjana mnakamia sana unajisahau kuwa mwanamke hutakujakuwa na future nae unajitutumua mauno feni bovu haya sasa madhara yake ndo hayo
 
Hakuna laana yoyote kwa hawa wazinzi wawili watakayopeana, wakimtanguliza Muumba katika uhusiano wao wataelewana na mambo yatanyooka.
 
Hakuna laana yoyote kwa hawa wazinzi wawili watakayopeana, wakimtanguliza Muumba katika uhusiano wao wataelewana na mambo yatanyooka.
 
Hamna ktu naheshmu kama mapenz , nilishamfanyia mtu ujinga sababu nilijua ananipenda, alilia binti wa watu siku nne kula hali mpaka wenzake wamuombe, mara ya mwisho kukutana nae aliniulza maswal paul umeshawah kupenda nikamwambia ndio akakataa akasema ungekuwa umeshawah penda usingenifanyia hv ungejua wat i feel! nkampuuzia sema aliniachia ka laana hv akaniambia utakuja kpata nilichopata, tukaachana , sa hv naugua hapa na mm nimeachwa! daa haya mapnz bac

Hahaha safiiii
 
Never say never....

Baadae utasikia huyo ndiyo chaguo lako. Maisha haya.
 
Hamna ktu naheshmu kama mapenz , nilishamfanyia mtu ujinga sababu nilijua ananipenda, alilia binti wa watu siku nne kula hali mpaka wenzake wamuombe, mara ya mwisho kukutana nae aliniulza maswal paul umeshawah kupenda nikamwambia ndio akakataa akasema ungekuwa umeshawah penda usingenifanyia hv ungejua wat i feel! nkampuuzia sema aliniachia ka laana hv akaniambia utakuja kpata nilichopata, tukaachana , sa hv naugua hapa na mm nimeachwa! daa haya mapnz bac
Hahaaaa eti nawe unagua...pole ugonjwa utapona tu.......usipoangalia huo ugonjwa utaendelea mpaka na watakaokuja.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Ama wewe, mkeo au wanao (wake kwa waume) nao watageuzwa kuwa vyombo vya starehe tu. Karma is a bitch isn't it?!

Mwambie ukweli huyo binti ili aendelee na maisha yake. Kama akikubali kuwa chombo cha starehe basi wewe utakuwa umeshajitua mzigo vinginevyo utapatilizwa wewe na vizazi vyako vyote!
 
Kosa lako ni kuendelea kumtumia. Kama una nia ya kuachana nae take action.
 
Hapo unaeza sema unamchukulia hivyo ukadhan unamkomoa, kumbe yeye kakufanya chombo cha usafiri ila dereva yupo kwenye seat yake. Ya wanawake waachieni wenyewe tu
 
Back
Top Bottom