Namchukia sana mke wangu

Mwanamke mjinga. .........
 
Usione watu wanamaliza kazi lakini hawataki kwenda nyumbani
Nadhani kiini cha tatizo hakijaeleweka wivu, mke ni mama wa Nyumbani hajishughulishi na chochote (idle mind),mume amekata tamaa hatafuti solution.
 
Kwa ME: Communication gap, kutojali hisia za mwenzake & kutochukua tahadhari mapema.
Kwa KE: Kushindwa ku control mihemko yake
wivu kupindukia na kukaa Nyumbani bila kujishughulisha (idle mind)
 
Ndoa haikimbiwi.tafuta solution..mda mwingi that woman needs assurance mara kwa mara kuwa anapendwa and she is the only one...na mume amkemee hapendi maneno mengi
Mtu unakimbia maneno tu siku ukisaidiwa si utafia uzikwe huko??!
 
Kweli huyo jamaa alizingua, kwa nini asimjibu ili mwenzie akapunguza wasiwasi? Na inakuwaje mwanamke hakuamini kiasi cha kukupigia simy kila wskati? Naona hapo ndoa ilikuws inafika mwisho chanzo chake si mwanamke kumpigia simu kila wakati bali kilichosababisha mwanamke awe anapiga simu.
 
Mkuu... Nakubali mtu mwenye fikra. Yaani umemaliza kabisa. Huyo jamaa ndo ana matatizo. Anaringa kama demu, badala kum-confront mkewe, anamringiaringia. Huyo jamaa ni selfish.
Binafsi, nataman mwanamke atakayejali kiasi hicho kwamba yupo makini na mali yake. Ukiacha makelele, huyo jamaa alikuwa hamtendei haki mkewe.
 
hata mimi nimemchukia huyo mke..

na huyo mume nae udhaifu wake wa kusimama kiume ndio umesababisha yote haya.
 
Yani mpaka inafikia hatua hiyo ina maana hata upendo umepungua kama sio kuisha, kama kweli unampenda mtu na kujali hisia zake huwezi kumfanyia hivyo.

Hata kama uko busy ukija baadae ukakuta missed calls na sms lazima utamtafuta, au kama simu inakaribia kuzima, unaweza hata kumtaarifu mwenzako in advance na kumpa alternative nyingine ya kukupata kama akikukosa kwenye namba yako.
 
Unistue manake kuna pensheni ya Paw hapa naiwinda tununue hiyo nyumba yenu.

Hela tukikulipa kuna nyumba ya baba mkwe mdogo inauzwa pangani, uinunue ukaishi mahali ambapo mapenzi yalizaliwa.
Kabisa
Usawa huu anakasirika ananiachia nyumba?
Harakisheni hiyo pensheni mwaya mje kununua.
Au Paw nae kazingua....pensheni hiyo tangu miaka hiyo.
Pangani napaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…