Pia kwa ilipoanzia ni rahisi kusema mwanamke ana mdomo, kwamba jamaa kaingia tu ndani kakutana na ndoo ya maswali, hatujui huko nyuma nani chanzo cha hayo yote. Inawezekana jamaa ni kiwembe kweli au mwanamke alishawahi kumfumania kipindi cha nyuma sasa hamuamini tena ndo maana anakuwa na wasiwasi. Kwa hii story ilipoanzia nadiriki kusema mwanaume ndo mjinga.Ilianza wakati gani hasa?
Kwa ulipoanzia stori yako ni rahisi kusema ni udhaifu wa mwanaume kushindwa kummanage mkewe.
Hyo communication gap ni tatizo kwa wanaume wengi tu, unakuta siku nzima anakukaushia bila sababu, mnaweza mkawa mmeachana vzr tu asbh lkn ukimtext hajibu, ukimpigia hapokei au anakata cm, sawa uko busy lkn kuna wakati unakuwa free japo dk kadhaa kwa nini usimtafute mwenzio kujua alikuwa na shida gani? Unapuuza kumbe nyumba inaungua au kapatwa tatizo kubwa. Jirekebisheni hapoKwa ME: Communication gap, kutojali hisia za mwenzake & kutochukua tahadhari mapema.
Kwa KE: Kushindwa ku control mihemko yake
Jamani..kuna wanaume wana tabia kama za huyo mke. Kosa kidogo tu tena lingine la kufikirika sio la kweli lakini ataongea usiku mzima na kununa mwezi mzima! Ndoa hizi..Mungu atusaidie!
Hahahaha! Wanawake sie watamuuu.Namuhesabia huu mwezi wa 3,hajarudi nyumbani.
Ikifika mwezi wa 4 mwambie nauza nyumba
Usiache kuoa ndoa ni stara kubwa,sema hiyo ni mitihani tu unaweza ukawa na mke rahimu kabisa watoto wakawa mtihani au ndugu na majirani ndo wakakupasua kichwa.Majawapo ya vitu ambavyo nikifikiria sina hamu ya kuoa
Kupasuliwa kichwa kiasi hiki
Asante Kwa ushauri shukrani Sana ntaangalia coz nilipanga kupata mtoto tuu ila kuishi na mwanamke siwezi aiseeeUsiache kuoa ndoa ni stara kubwa,sema hiyo ni mitihani tu unaweza ukawa na mke rahimu kabisa watoto wakawa mtihani au ndugu na majirani ndo wakakupasua kichwa.
Usihofu M/Mungu ni wetu sote.Asante Kwa ushauri shukrani Sana ntaangalia coz nilipanga kupata mtoto tuu ila kuishi na mwanamke siwezi aiseee
Ni kwel unaweza ukampata ukasema huyo kweli nimepewa na Mungu akasifiwa na ndugu na marafiki lakini hapo ndani sasa unataman upakimbie umwache Kwa jinsi alivobadilika Kama huyuUsihofu M/Mungu ni wetu sote.
Hapa ndipo tunapousiwa subira na maamuzi sahihi.Ni kwel unaweza ukampata ukasema huyo kweli nimepewa na Mungu akasifiwa na ndugu na marafiki lakini hapo ndani sasa unataman upakimbie umwache Kwa jinsi alivobadilika Kama huyu