jajithebest
Member
- Jun 12, 2015
- 45
- 8
Salaam Wanajamvi
Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN Viongozi wengi unakuta wakijinadi katika majukwaa Kwamba Serikali imejenga shule maabara za kutosha hawafikirii swala la mfumo wa elimu uliowekwa ambao unapelekea kuongeza competition vyuo vikuu Kwa upande Wangu nasema. WAZIRI WA ELIMU AJIUZURU na raisi ajaye achague mawaziri wake, huyo Kawambwa awe hata waziri wa mifugo na apeleke BRN Kwenye mifugo.