Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

wakuu.....nimekuja na mrejesho...
niliruka vizingiti vyote nikiwa na GBWHATSAPP lakini wakaja na mbinu mpya ya kudai version yangu iko outdated...wakati iko up to date!...nikapewa siku 30 nikiangalia naona hakuna version mpya.....mpaka jana ikafungwa rasmi..
 
Gbwhatsapp developer wake kaacha kutengeneza gbwhatsapp...na alitoa taarifa..so jana ndio ilikua siku ya mwisho...chakufanya hamia Yowhatsapp maisha yaendelee

Anayeitengeneza kashasitisha kuitengeneza.

wakuu.....nimekuja na mrejesho...
niliruka vizingiti vyote nikiwa na GBWHATSAPP lakini wakaja na mbinu mpya ya kudai version yangu iko outdated...wakati iko up to date!...nikapewa siku 30 nikiangalia naona hakuna version mpya.....mpaka jana ikafungwa rasmi..
tapatalk_1564691464389.jpeg
 
yowhatsapp hakuna usumbufu wa ban tena?!...au upepo umeshapita..
Gbwhatsapp developer wake kaacha kutengeneza gbwhatsapp...na alitoa taarifa..so jana ndio ilikua siku ya mwisho...chakufanya hamia Yowhatsapp maisha yaendelee
 
Ingia kwenye FAQ ya WhatsApp soma sababu za Temporarily Banned Accounts huko ndio kwenye chanzo na solution wameitoa nilipenda ku-attach maelezo lakini imeshindikana
 
Upepo umeshapita mkuu..wana anti ban,hata gb si ilikubwa na ban
ok mkuu wangu niko barabarani nikifika ntadownload yo maana nimesikitika sana kuikosa third party whatsapp kwa simu yangu....yani hii official haina mvuto wa aina yeyote..
 
wakuu.....nimekuja na mrejesho...
niliruka vizingiti vyote nikiwa na GBWHATSAPP lakini wakaja na mbinu mpya ya kudai version yangu iko outdated...wakati iko up to date!...nikapewa siku 30 nikiangalia naona hakuna version mpya.....mpaka jana ikafungwa rasmi..
Yaani hata mie hali hii imenitokea juzi, nilipojaribu ku-update ikaja FMWhatsapp.

Hakika GB ni baba lao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom