Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Kuwa mkweli tu, kuna kitu unakifahamu ulikifanya, hawakuonei, kwanza kuna mijitu huingiza namba yangu kwenye magoup yao bila idhini yangu, hawa wapigwe ban kama hizi.
 
Ni meuninstall na kudownload upya kwa namba ingine shida ni kwamba namba ya mwanzo inajulikana na watu wengi mpaka Corporate companies.

Hii mpya mpaka ije ijulikane ni shida sana.
Mkuu kama namba yako iko official hivyo kwanini uhangaike na whatsapp fake!? Cheki zinavyokugharimu.
 
Kuwa mkweli tu, kuna kitu unakifahamu ulikifanya, hawakuonei, kwanza kuna mijitu huingiza namba yangu kwenye magoup yao bila idhini yangu, hawa wapigwe ban kama hizi.
Kiukweli sikumbuki chochote, nnachokihisi ni hiyo app ya GBwhatsapp basi.
 
Mkuu kama namba yako iko official hivyo kwanini uhangaike na whatsapp fake!? Cheki zinavyokugharimu.
Shida ni kwamba hyo app ilikuwepo tu na nilikuwa siitimii kwa chochote kile. Ningejua mapema ningeiondoa tu. Manake ilikua haina kazi yeyote.
 
Pole sana jamaaa, hiyo ndio tatizo lakujichanganya kwenye ma group , unaongea ongea na unknown people na wengine wanaku report vibaya, mwishowe ndio inatokea hivyo
 
Nimeoa bhanaaa misambwanda ya nini tenaa??
Hiyo number haiwezi kukubali kutumia tena app yoyote ya WhatsApp..wewe sajili tu number nyingine na utumie hiyo WhatsApp official. Hilo ni kosa kubwa sana kwao WhatsApp kutumia app nyingine..ndo maana hizo app za WhatsApp ziliondolewa Google play store. Ukitaka kutumia hizo app tumia namba mpya ambayo hujawahi kuitumia WhatsApp hii official...Pole sana!
 
Ulikuwa nazo kwa muda gani? Mie niponazo kwa miezi 8 sasa
Mi sio msumbufu kabisa kaka, nahisi itakuwa ni GBWhatsapp niliyokuwa nayo, kama kuna mtu anahizo whatsapp 2 basi aondoe moja wapo la sihyo tegemea ban muda si mrefu.
 
Ivi kweli kuna kiumbe anae kuaga na Mda wa kusoma zile TERMS OF AGREEMENTS NA SOFTWARE LICENCES baada ya kuinstall Apk.??.tusio somaga izo vitu tugonge LIKE apa
jiwekee taabia ya kusoma Terms Of Service (ToS) za mtandao wowote ule kabla hujazikubali(agree) na kujiunga
hapo umevunja sheria na hiyo no. kujiunga na whatsapp haitokubali kamwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom