kabatimpya
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 231
- 216
Ndio maana nimesema zimeniponza mkuuUtoto ni pamoja na kutokuilewa vizuri jf mpaka kuamua kuanika namba zako hapa. Hiyo dhambi itakutafna for life.
Kweli nimekubalinakupa pole kwa ugonjwa, mungu akuponye, hilo jingine ulibug
Nimeishapimwa Mara sita sasa ct scan.na ENT Mara mbili mbili Tasisi ya moyo na kipimo kingine kinaitwa OGD.Nimeambiwa nirudi tens 20/6 ili wakajidiane was ENT na OGD.Sijui nitaambiwaje tena.Kacheki hospitali isijekua ni cancer ya koo mkuu, ikigunduliwa mapema basi na uwezekano wa kupona ni mkubwa zaidi.
Kacheki hospitali isijekua ni cancer ya koo mkuu, ikigunduliwa mapema basi na uwezekano wa kupona ni mkubwa zaidi.
Ulikuwa unazama chumvini nini?Habarini wakuu.
Kama nilivyoelezea hapo juu.niende mwenye hoja.
Wiki iliyopita nilileta humu matatizo yangu ya kusumbuliwa na ugonjwa wa koo.
Nilielezea kwa undani tatizo lilivyo na vipimo nilivyoishafanyiwa.
Niliomba humu msaada wa ushauri au mwenye kuelewa hili tatizo dawa yake.
Nikaeleza kuwa hata nauli nimeishiwa.nilijiroga kuweka namba zangu za simu humu.
Nasema nilijiroga sababu niliambulia majibu mengine yenye dhihaka ndogo na kubwa.
Eti nipeleke beberu bikra na kuku mzee mwenye manyoya ya kijani.mwingine akaja kivingine kabisa.Tezi Dume na kuumwa koo wapi mpaka wapi? Tena nipimwe kwa njia ya asili mmhhh.
Tuwe tunajaribu kuwa na maono.mie sikuomba msaada na Yale mapovu mnayosemaga humu.hata hivyo kikubwa niliomba ushauri au aina za dawa zitakazonisaidia..
Mkuu vipi boksi hapo kwa malkiaUkiona mtu anamtolea majibu ya dhihaka mtu mwenye shida,basi tambua kua mtu huyo huenda hajawahi kufikwa na matatizo,kama umewahi kupata matatizo hasa ya ugonjwa ni lazima utakua na hisia kwa mwenzako.
Boksi kama kawaida,life goes on.Mkuu vipi boksi hapo kwa malkia
Poleni kwa kufiwa na Morsi
Funguka Mkuu ndio unatao ushaur alioutaka huoDah! ! Hapa sitii neno aise. .Nisije kumtia was wasi mtoa mada