huyu jamaa kweli yawezekana ni magumashi...si aende kwenye website ya bunge Parliament of Tanzania atapata namba za wabunge wote anaowataka...huyu kweli ni Great Thinker !!!!
Tumekushtukia wewe ni gunster unataka kuwapeleka mabwepande kama ni hoja kuja thrd ya Marehemu regia mtema ungeziweka hapowakuu salamuni.
ili kuibana serikali, inatakiwa tushirikiane na wabunge wale tunaoamini kuwa watakuwa wasemaji wa wananchi. kuna jamaa kaorodhesha hoja mbalimbali lakini hana namba za mtu anayeweza kumtumia hoja hizo ili kuibana serikali. Kataja majina ya wabunge ambao anadhani wanaweza kuwa wasemaji wazuri wa hoja hizo, kama kuna mtu ana namba za waheshimiwa hao, basi anipe namba zao ili awatumie hoja hizo.
1. Joshua Nassar-CDM
2. Deo Filikunjombe-CCM
3. Vicent Nyerere-CDM
4. Ezekiel Wenje-CDM
5. Highness Kiwia-CDM
NB. Kama una namba za mbunge unayeamini atawasilisha hoja vizuri, basi itakuwa vizuri ukitupa ili apewe hoja hizo.
Natanguliza hsukrani
Huenda ana hoja lakini hatakiwi kugo nazo public nnje ya bunge. Kama huna wewe msaidie jamaa kwa kutuliza masaburiWeka hizo hoja kwanza tuzione!
Mkuu inawezekana una makusudi mazuri ya kutafuta whistle blower ila unalotakiwa ujue humu JF kuna watu wako kazini wanatafuta habari za kupeleka TISS sasa lazima wakuulize sana habari gani wewe unayo hebu soma majina yao halafu fuatilia post zao utawajua woteeee hawana akili zaidi ya hapo ntakutumia namba za hao wote kwenye inbox yako.wakuu salamuni.