Namba za simu za baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba za simu za baraza la mawaziri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Jul 12, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF pongezi kwa uchangiaji wenu. Kwanza namshukuru Double agent kwa kutuwekea orodha ya namba za simu za baraza mawaziri kivuli(shadoq cabinet) tunaomba mtusaidie tuwekeeni pia namba za baraza la mawaziri la kikwete. natanguliza shukurani
   
Loading...