Namba za Magari: Kwanini herufi “O” imerukwa!?

displayname

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,972
Reaction score
1,091
Wajuzi wa mambo na vijambo, heri ya mwaka mpya ulioanza na mabadiliko kiduchu kwenye baraza la wandugu mawaziri!!!!

Naona ni vyema kujulishana nimeshangaa sijaona herufi O katika mtiririko wa namba za magari.

Nilitegemea kabla ya herufi “P” ilipaswa kuanza “O” lakini sijaona gari zenye plate number za T 123 DOA nk ina nimeona zimerukia kwenye T123 DPA.

Mwenye kufahamu hayo mambo atujuze na sisi wengie tujue zaidi kama wao!!!!

Asentini!!!!!
 
Na I pia ilirukwa... Ilivyotoka tu DH... series DI... ikarukwa ikaja DJ...

Na mimi naomba kufahamishwa kwa wajuzi...
Wajuzi wa mambo na vijambo, heri ya mwaka mpya ulioanza na mabadiliko kiduchu kwenye baraza la wandugu mawaziri!!!!

Naona ni vyema kujulishana nimeshangaa sijaona herufi O katika mtiririko wa namba za magari.

Nilitegemea kabla ya herufi “P” ilipaswa kuanza “O” lakini sijaona gari zenye plate number za T 123 DOA nk ina nimeona zimerukia kwenye T123 DPA.

Mwenye kufahamu hayo mambo atujuze na sisi wengie tujue zaidi kama wao!!!!

Asentini!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye magari namba T.... CCM wanaumia sana kusajiliwa hivyo!

Ukiachilia mbali wana ccm kupewa T ... CDM!

Maisha bwana, kinachokukondesha kinakufanya uishi
 
Back
Top Bottom