msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,714
- 8,857
Siku nikinunua gar yangu plate namba yake lazima iwe TZ H.........
T 754 UCH
T 784 UKE
T 764 SEX
T 745 ASS
T 765 CCM
T 767 CDM
T 766 CUF..............
Sent using Jamii Forums mobile app
T 754 UCH
T 784 UKE
T 764 SEX
T 745 ASS
T 765 CCM
T 767 CDM
T 766 CUF..............
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza mkuu, uzi ufungweHata herufi "I".
Sababu ni herufi hizo kufanana na namba.
Unaweza ila gari lazima liwe la thamani kuanzia milioni 500 na kuendelea.Hivi mtu huwezi kuomba series ambayo bado haijafika..mfano naitwa jux nataka plate namba yangu iwe mf. T123 JUX wakati huo tupo kweny number D,na hiyo series ya j bado haijafika?