Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
Lakini kwa Tanzania nadhani haifanyi tena kazi. Watanzania wengi tulikua tunatumia hii namba kwa usumbufu tu bila kua na shida.112 inakubali ila network inAbidi iwepo. ukiwa huna sim card, au simu ina password inakubali. utaon Neno emergency call only ndio hapo hapo
kipindi kile walikuwa wakitumia simu ya mezani, kama wame upgrade mitambo na kuwachukulia hatua wasumbufu watu wataiheshimuLakini kwa Tanzania nadhani haifanyi tena kazi. Watanzania wengi tulikua tunatumia hii namba kwa usumbufu tu bila kua na shida.
Namba nyingine ni 113 Fire. Ila sina uhakika kama inafanya kazi katika hayo mazingira
Inafanya kazi mkuu...NimejaribuLakini kwa Tanzania nadhani haifanyi tena kazi. Watanzania wengi tulikua tunatumia hii namba kwa usumbufu tu bila kua na shida.
Namba nyingine ni 113 Fire. Ila sina uhakika kama inafanya kazi katika hayo mazingira
nimesena hapo juu network inabidi iwepoChief, kama una simu jaribu kuweka flight mode (ita-disable network) na ukipiga 112 itakubali.
Sasa mkuu umewaambia unadharura gani? Chief kasema kama wame upgrade mitambo wakishiriliana na service providers wanaweza kuku-pinpoint.Inafanya kazi mkuu...Nimejaribu
Nimekuelewa mkuu, ila hata ukiwa umetoa line (huna mtandao) bado unaweza kupiga 112..Wanairecognise kama emergency numbernimesena hapo juu network inabidi iwepo
ukitoa line inakua huna tu line ila mtandao upo. ukumbuke kinachokamata mtandao wa simu sio line bali ni antena ambazo zipo ndani ya simu.Nimekuelewa mkuu, ila hata ukiwa umetoa line (huna mtandao) bado unaweza kupiga 112..Wanairecognise kama emergency number