Namba ya siri inayotawala dunia

Mkuu huu uzi ulizingua sio uandishi wako kabisa ni kama upayuka ukiwa kwenye usingizi mzito sana...[emoji23] tena mchana kweupe
 
Ni mada ya kufikirisha na inahitaji uelewa mpaka la sivyo michango itakuwa ya kukejeli na kujitoa ufahamu kama wachangiaji waliongulia kuchangia, siwalaumu kwakuwa tumezoea vitu rahisi visivyofikirisha
Thats what I wrote before then!
 
Mkuu huu uzi ulizingua sio uandishi wako kabisa ni kama upayuka ukiwa kwenye usingizi mzito sana...[emoji23] tena mchana kweupe
Asante kwa maoni hasi .. Ni haki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…