.....nadhani mleta mada atakuwa ni Msabato!
Miaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!

Ni kweli mambo haya yapo waliosema yanaendelea dunia nzima sio kupinga kristo ni dini zote tunaoamini Mungu. Mwaka 98 walianzisha mpango wa kuwawekea microchip watu ili wapate data zako zote kama finance, health, na hata allergy, lakini nia kubwa ni kuwa control tu kama ukichukua mkopo ni lazima utalipa badala ya kutuma watu kukusanya madeni wanachukuwa kutoka kwenye data zako, hakuna kuuwa tena watu kwa risasi na gas ila they will damage your pockets and leave you to starve. Hawatafanikiwa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ni siri zao kubwa lakini hawakutegemea hizi computer zitaficha uchafu wao na sasa unaona watu kama kina snowden wakitoa siri kila kukicha,
bullog si kila kitu lazima kiwe kizima na pengine hii ndio aina yangu ya uandishi