Kwa faida ya wana JF wengine Pia:
- Kwa shida yeyote inayojitokeza kuhusiana na huduma zinazopatikana kwenye M-pesa (yaana *150*00#) piga hii namba 15366 (Mpesa customer care ) - Hivyo ndugu Atom hiyo ndio namba ulipaswa kupiga.
- Kupata token zako za LUKU/umeme piga *150*50*100300*Namba_ya_mita_ya_luku# iwapo fedha imeliwa na haujapata token. (Kama ilivyo hii case yako mkuu Atom )
Source: Mimi mwenye nilikumbana na hili tatizo jana (01 August ) asubuhi.