+1 ni namba za marekani,
sio ya maajabu either ni kweli kuna mtu marekani anakujua amekukumbuka,
au inawezekana ni wale wanaofundishana humu kupata namba ya marekani bure na kufungulia whatsapp, huwa zile pia zinapiga simu. inawezekana tu mbongo huyo anakujua anakuzingua.