Namba ya Canada/U.S.A

Namba ya Canada/U.S.A

dirtyboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
382
Reaction score
672
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali
natanguliza shukran
 
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali
natanguliza shukran

mkuu kama upo interest mie nauza namba kwa bei ya 40 elf namba nakupa kwa muda wa mwaka na baada ya mwaka pia unaweza kurenew kwa same amount:
ninazo namba za nchi hizi:

Holand
German
USA
Australia
Belgium
Austria
UK
Mauritius

kama haupo serious please tusisumbuane tafadhali sana.
 
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali
natanguliza shukran
kazi yake nini hasa mkuu
 
Iyo 40 ya zimbabwe au tz angalizo vijana wenzangu iki kipindi xio cha.......
 
Njia rahisi kabisa. Download app inaitwa Primo itakupatia US phone number bure inayokubali whatsapp. Ukihitaji lakini hiyo namba kwa muda mrefu unalipia $4 tu kwa mwaka ambayo ni very cheap.
 
mkuu kama upo interest mie nauza namba kwa bei ya 40 elf namba nakupa kwa muda wa mwaka na baada ya mwaka pia unaweza kurenew kwa same amount:
ninazo namba za nchi hizi:

Holand
German
USA
Australia
Belgium
Austria
UK
Mauritius

kama haupo serious please tusisumbuane tafadhali sana.
Hahahahahaha kweli maisha yamekaza sana..elfu 40 wakati kuna aplication kibao unapata namba bureee kbs..

Au ndio mjini wakuja hawaishi
 
Back
Top Bottom