Kulikuwa na mzee mmoja ambaye ilikuwa kila akipiga simu anaambiwa kuwa namba unayopiga haipatikani siku moja akaamua kwenda makao makuu na kukutana na muhudumu ikawa hivi
Mzee"Samahani mjukuu wangu"
muhudumu "Bila samahani Mzee unasemaje
mzee"Kuana kuna dada mmoja katika mtandao wenu ananisumbua sana kila nikipiga simu huwa ananijubu kuwa namba ninayo piga haipatikani kwahiyo nilikuwa nataka kumuona huyu dada yuko wapi?
muhudumu"Samahani mzee wangu kwaleo huo dada hajafika kazini
Mzee wakati anaondoka akaamua kupiga tena ile namba akaambiwa namba unayopiga kwa sasa haipatikani, akaamua kurudi ndani na kumwambia yule mhudumu, umenidanganya huyo dada yupo kazini leo mbona nimepiga ile namba kaniambia tena vile vile?