Kulikuwa na mzee mmoja ambaye ilikuwa kila akipiga simu anaambiwa kuwa namba unayopiga haipatikani siku moja akaamua kwenda makao makuu na kukutana na muhudumu ikawa hivi
Mzee"Samahani mjukuu wangu"
muhudumu "Bila samahani Mzee unasemaje
mzee"Kuana kuna dada mmoja katika mtandao wenu ananisumbua sana kila nikipiga simu huwa ananijubu kuwa namba ninayo piga haipatikani kwahiyo nilikuwa nataka kumuona huyu dada yuko wapi?
muhudumu"Samahani mzee wangu kwaleo huo dada hajafika kazini
Mzee"Basi akija naomba ufikishe ujumbe wangu kwake kuwa umwambie aache kunisumbua