Wakuu! Naomba mp3 ya huu wimbo! Njoo tufaane kwa mema! Nimejaribu kutafuta link ya kudownload huu wimbo kwenye mtandao sikupata! Mwenye nao anirushie please!
Wakuu! Naomba mp3 ya huu wombo! Njoo tufaane kwa mema! Nimejaribu kutafuta link ya kudownload huu wimbo kwenye mtandao sikupata! Mwenye nao anirushie please!
Mkuuu! Hii nimeshindwa kuidownload! Inaniletea error! Nyingine nimefanikiwa. Kuhusu kuinstall app nikiend playstore haipo inayofanana na hii! Actually nimekukubali na hii app kama ntaipata ntashukuru abnormal