Namba hii inanipigia sana, ni ya wapi?

Namba hii inanipigia sana, ni ya wapi?

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
478
Reaction score
734
Mwenye kujua hii namba ni ya wapi 26042018 anijuze

Mwenye uelewa wa iyo namba anijuze maana nimeona inanipigia sana na kuniambia nijitafakari nichukue maamuzi sahihi kupitia iyo namba, sijaelewa
 
Siku muhimu kwa Watanzania wote bara na visiwani kujitokeza sherekea Muungano wetu na kutasimini umoja wetu Watanzania.
 
Duh ! Kwa hyo inakupgia simu kabisaaa? Namimi nahitaji inipgie nichukue maamuz
 
Mwenye uelewa wa iyo namba anijuze maana nimeona inanipigia sana na kuniambia nijitafakari nichukue maamuzi sahihi kupitia iyo namba, sijaelewa
Mkuu kama umepigiwa kimbia nchi. Hiyo ni namba ya ikulu, unatafutwa kunyongwa. Hivi ulishiriki yale maandamano uchwara ya chadema ya hivi majuzi, kama ni ndiyo basi unatafutwa, kimbia nchi haraka sana.
 
Back
Top Bottom