NAMBA 16 ni namba ya WASICHANA.

sa unikute kikongwe heaven hapa,agee imeenda halafu nidanganye 16........,

hivo no vibint vinavyokuwa sie siku hizi hatudanganyi umriii tuna mambo yetu makubwa tunayodanganya
Ha ha ha ha ha ha ha ha.............hapo umenena, ss nidanganye umri inisaidie nn? kuna vitu vya ukwee vya kudanganya, "age ain't nothing but a number"
 
sa unikute kikongwe heaven hapa,agee imeenda halafu nidanganye 16........,

hivo no vibint vinavyokuwa sie siku hizi hatudanganyi umriii tuna mambo yetu makubwa tunayodanganya
research iliofanywa hivi karibuni inaonyesha kuwa, kwa gals
1. miaka 13-15 virgins--- unused (brand new)
2. miaka 16-17 rarely used
3. miaka 18-21 highly used
4. miaka 22-24 mostly wanahitaji repair
5. miaka 25-30s renovation
6. miaka 35- 40s inahitaji overhaul
so utajua tu kwa nini wengi wanapenda kutaja hako kaumri..
 
true dat
 
siku hizi miaka 9 tu washazibuliwa mabomba.........,

ila mie age nilifikia sihitaj kudanganya umri,nahitaji repair tu hapa
 
siku hizi miaka 9 tu washazibuliwa mabomba.........,

ila mie age nilifikia sihitaj kudanganya umri,nahitaji repair tu hapa
yawezekana ukawa unatudanganya hapa sio wewe ushafikia level ya CHUMA CHAKAVU almaarufu kama SEKEREPA (SCRAPPER)..
 
yawezekana ukawa unatudanganya hapa sio wewe ushafikia level ya CHUMA CHAKAVU almaarufu kama SEKEREPA (SCRAPPER)..

niko kwenye repair lakin nimeshakuwa chuma chakavu

nyie vijana mna maana nyiee,Khaaa nawashukuru wachina aisee kitu kinakuwa sealed again.........
 
Hio ni uchunguzi wa aina gani unaofanyika pasipo kutoa majibu na kisha mchunguzi akaamua kutoa majibu kwa namna aonavyo yeye kisha akawashawishi watu waamini kama anavyofikilia yeye?
Mie sikuelewi kabisa!!!
 
kitu kinakuwa kama umemwagiwa SUPA GuLUU,, kudestroy mpaka utumie sululu,,, kweli mchina noumer,,,
 
Mimi nina miaka 79 karibu.

Record broken,bibi wa miaka 79 anachati JF.
Wekeni kwenye kumbukumbu hiyo.
Kwani wewe bibi yangu hukuwahi kuwadanganya babu zangu kuwa uko 16?
 
sa unikute kikongwe heaven hapa,agee imeenda halafu nidanganye 16........,

hivo no vibint vinavyokuwa sie siku hizi hatudanganyi umriii tuna mambo yetu makubwa tunayodanganya

My heaven Ila umepata kudanganya kuwa upo 16 wakati upo 22?
 
niko kwenye repair lakin nimeshakuwa chuma chakavu

nyie vijana mna maana nyiee,Khaaa nawashukuru wachina aisee kitu kinakuwa sealed again.........

bishost umeua,na wenyewe walivyo mazo..ba hawagundui hata!!
 
bishost umeua,na wenyewe walivyo mazo..ba hawagundui hata!!

wanadhania na mie ni 16 we kumbe niko mid something huko

halafu hapo chini umejib vizuri umeona nimegonga na like....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…