Nalog off

Kwanini ukubali watu waingilie maamuzi yako? kama haipendi asiisome. Ingekua tusi ningekushauri uache. But mi naona mzuka tu. Mia
 
Mkuu kipindi kile tulikua tukikuita pipo bawa. Ukapigwa biti ukajiita washawasha umepigwa biti umeleta thread..hahahaaa....!!. Mia
 
Nakwambia huko chemba ni mwendo wa kupigwa biti tu.
Nalog off
 
Nakwambia huko chemba ni mwendo wa kupigwa biti tu.
Nalog off

Hahaa kumbe ndo.muzee ya popobawa zamani....aminia...mi napenda sana identity so endelea nayo mkuu. Ningejua namna yan kuiweka bila kulazimia kuandika kila saa ningekuwa na yangu
 
Kuna sehemu ya signature..weka neno utakalo litakuwa linatokea automatically.
 
fanya vile upendavyo wewe
usiangalie mwingine

Ni mtazamo tu!!
 
Hahaa kumbe ndo.muzee ya popobawa zamani....aminia...mi napenda sana identity so endelea nayo mkuu. Ningejua namna yan kuiweka bila kulazimia kuandika kila saa ningekuwa na yangu
Hakuna shaka kiongozi ngoja niendelee kukomaa nayo.
Nalog off
 
We endelea tu ku log off japo bado upo online.

Siku uto log off jumla tutaelewa.

Nalog on...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…