MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
habari
leo naungana na dada yangu mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (by mwasiti)
hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Hapo Mwana tafuta kipoozeo cha pembeni anakuwa spare tyre ukiona uvundo unajirestisha kwa spare wewe huoni hata mafiga yapo matatu.
yamekukuta ndugu yangu.sema wakuu wakusaidie vinginevyo..........................mhhhhhhhhhhhhhh
Hapo Mwana tafuta kipoozeo cha pembeni anakuwa spare tyre ukiona uvundo unajirestisha kwa spare wewe huoni hata mafiga yapo matatu.
. Ndugu yangu we walitwambia wahenga kua uyaone... na leo ninayaona ah!
Sina cha kusema mie yaani hapa kila kitu kizito! Akili haifanyi kazi, moyo unaniuma yet nimeshindwa mie ......
............ Seriously Fidel Is that a solution kwa kweli?
Kwa niliyonayo sidhani kama natamani tena ulimwengu huu wa mapenzi!! Huyo kipoozeo ntamtesa tu bure!
Pole sana ndo maisha yetu wanadamu yalivyo. Nilichojifunza ni kuwa ni lazima nijue kusameheana pia kupo especially kama kuna bond ya watoto maana vinginevyo rough zinazochezwa zitaathiri kila upande.Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
.. Kwa kweli mpaka hapa nilipofikia onadhani it is the time.... kwa sababu kama mwenzio amefikia hatua ya kuanza kutoona uwezekano wa ninyi kuwa pamoja (and say it) mwa muda ujao, achilia mbali maudhi madogo madogo na kashfa je bado si muda muafaka?Mie nafikiri cha kwanza ni kuwa makini na maamuzi yako.Je ni kweli its the time to quit.
Sawa kabisa usemacho lakini unapozungumza na hisia zako bado unampenda na katu makosa yake huyaoni kama ni kitu kwani unampenda kwa dhati, unafanyaje? wakati yeye ndo anaonekana kabisa kuregrete kuwa na wewe na pia ameshaamua hataki tena kuendelea (ingawa anafungwa na sheria na hajui atatokaje-either kwa kuogopa lawama toka kwa watu)Pia ni vizuri ukazungumza na hisia zako,je ni kweli hakuna utakachokuwa ukikimiss baada ya kulivua pendo na kama kipo je hauwezi kucompromise na maudhi unayoyapata.Yaani ukavumilia maudhi huku unapata unachokihitaji,kwani ndivyo maisha yalivyo.
Mwisho usijekujaribu kupingana na hali halisi,if its over,it is.Ingawa katika uzoefu wangu nimegundua kutengeneza penzi imara is a process,Iam sure you know it my sister.
Nalo hili neno mpwa.Anajua ila alitaka litoke kwako,maana wawili nyie kama simba na yanga
mtu ukishafikia maamuzi hayo ni kwamba ni kweli umechoshwa na hutakiwi kugeuka nyuma milele....kama kitu kimekushinda/kuchosha kwanini ung'ang'ane tu?
Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
Pole sana ndio ukubwa.Lakini kama maisha yetu yalivyo kwamba tunakuja na kwenda, basi hata matatizo nayo yanakuja na kwenda. Jipe moyo utashinda.Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
Pole sana ndugu yangu umefumania au umeletewa nyumba ndogo nyumbani kwako au mumeo/shemeji harudi kabisa? aiseeeeeeee pole ndo hapo unapoaambiwa mahusiano ni strategic decision siyo lele mama.
Pole sanaaaaaaa
Nakwambia hii ndo solution lakini hakikisha kipoozeo mnaenda kupima ili nawe uwe na uhakika na unachokitafuna.
Unaelewa nini maana ya mapenzi?
Si unataka usuuze nafsi na moyo wako uburudike basi hiyo ndo solution mbona yeye anasuuzika huko ambako hukujui?
Pole sana ndio ukubwa.Lakini kama maisha yetu yalivyo kwamba tunakuja na kwenda, basi hata matatizo nayo yanakuja na kwenda. Jipe moyo utashinda.
Bora yangekuwa hayo dada!
Hivi ulishawahi kuwa na mwenzio ukahisi kuwa anaregret kuwa na wewe (hisia zako tu) halafu siku ikatokea akakwambia tu out of no where- we do not have future? Halafu baada ya sentence hiyo akwambie chagua chochote utakacho uchukue halafu baada ya hapo husikii tena sauti yake?
Mbaya zaidi wewe uwe bado unampenda!