Naliona 'anguko' la StarTimes...

Naliona 'anguko' la StarTimes...

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,492
Reaction score
5,345
Hiki kng'amuzi huenda kikakosa soko kabisa, kwa sababu huku mitaani madishi yanongeza kila iitwapo leo,. Na madishi yenyewe ni ya Azamtv.

Mbali na hivyo nimefanya uchunguzi wangu, katika kila nyumba 10 zenye vinga'amuzi vya startimes, 8 kati yao hawalipii zile gaharama za kila mwezi.

Hivyo wanaishia kuangalia local chanel tu, sijui watajiendeshaje sasa kwa hali kama hii. Naliona anguko la startimes.
 
Hiki kng'amuzi huenda kikakosa soko kabisa, kwa sababu huku mitaani madishi yanongeza kila iitwapo leo,. Na madishi yenyewe ni ya Azamtv.
Mbali na hivyo nimefanya uchunguzi wangu, katika kila nyumba 10 zenye vinga'amuzi vya startimes, 8 kati yao hawalipii zile gaharama za kila mwezi. Hivyo wanaishia kuangalia local chanel tu, sijui watajiendeshaje sasa kwa hali kama hii. Naliona anguko la startimes.
IDEGENDA Ipi mkuu
 
Mi mwenyewe uu mwaka watatu sjanunua ivo vfurushi naangalia local channels.
 
Nipeni elimu AZAM TV nasikia haionyeshi ITV.EATV na CAPITAL TV.ni kweli? naishi umbali wa km 40 toka mjini je nitashika?
 
AZAM TV nasikia haionyeshi ITV.EATV na CAPITAL TV.ni kweli? naishi umbali wa km 40 toka mjini Dodoma je nitashika?
 
Wacha ife tu mimi naona kama wachina tu na li tbccm lao.
 
Ili kituo chako kiwe kwenye king'amuzi unatakiwa uwalipe kama 8mil kwa mkoa, kama unakumbuka clouds walijitoa walikua wakilalamikia ghalama ziko juu. hivyo basi wenye ving'amuzi hua wanalipwa na wenye vituo vya Tv.


selfish
 
kuna mdada mmoja Tangu annue mwaka wa pili na nusu sasa hajawahi kulipia king'amuzi hiki!
 
Siku zote nasema mchina ni moto wa kifuu. kipi cha china umeona kimedumu?
 
Umenikumbusha, kwa kuwa watoto wamefunga shule ngoja nikalupie Startimes ili waone chaneli za watoto.
Huwa nalipia kwa ajili hito tu-watoto wawapo likizo, siwezi kulipia Startimes kila mwezi ati niangalie machaneli ya Kichina na TBC2!
 
Wanapotea sokoni kwa sababu ya huduma mbovu PERIOD! Hata kama watashusha vifurushi mpaka 2,000/= kwa mwezi. Kila channel ni scratch mtindo mmoja.

Ushauri wa bure:
Waboreshe ubora wa picha na pia waweke channel moja yenye EPL for (majority) men na moja yenye movie standard kwa ajili ya kina (majority)mama.

Kinyume na hapo, watafute biashara mbadala.
 
Startimes ni semi-digitali...! Hizi Antenna zao za "kugeuzia Kisarawe" nazo ni janga la kidigitali...!
 
AZAM TV nasikia haionyeshi ITV.EATV na CAPITAL TV.ni kweli? naishi umbali wa km 40 toka mjini Dodoma je nitashika?

Inaonyesha tv zote za bure kwa tanzania kasoro star tv tu, vile vile utaona nne za kenya, za uganda, zanzibar nk kwa bure.
 
Back
Top Bottom