Kaptain Punda Dume
Member
- Oct 11, 2016
- 86
- 95
siku hizi mwendo wa viroba...vinatoka sana
Bila kusahau banana mkuu, ilimradi watu wapate stimu tu.
siku hizi mwendo wa viroba...vinatoka sana
Ndugu yangu acha siasa hazina maana. Hebu chukua hizo pesa zinazopelekwa then gawanya kwa idadi ya wanafunzi husika ndio utakuja kujua kwanini walimu hawataki kuwa walimu wakuu chini ya mfumo huo? Tafiti uone. Is a good start, lakini haitoshi kuendesha elimu kwa hivyo elimu inazidi kudidimia mikoani huko.
Plisina na balimi ndogo pia zinanyweka sana, ni Tshs1,500/=siku hizi mwendo wa viroba...vinatoka sana
Hivi AME ushawahi hata kumiliki genge kweli weye? Maana hii sio Mara ya kwanza tunacollide na point yako juu eti kwa population hii hatuwez kosa soko? Ulishawahi Lima hata mchaichai kweli? Yaan for sure ukienda ukamwambia mkulima atakuzaba makofi.Acha uzembe masoko yanatengenezwa na ndiyo kazi ya serikali makini...utakosaje soko kwenye population kubwa hii? Juzi Rais kakitajia masoko ya East and southern Africa...huko kite ugali ndiyo chakula kikuu...hakuna ardhi kubwa na nzuri kama yetu...kwanza ng'ombe tu wanaokosa machungio ni soko lingine jama binadamu hawatoshi...
All the best. Enjoy your dayUchumi hakuna wa sasa wala wa baadaye...imebakia kuwa hivyo hivyo in terms of institutionalization, yaani watu wanakula wanavaa na wanaishi ndani ya nyumba...kinachotofautiana ni preferences tu na programming...hiyo tiles unayoisema kama utafanya basics za uchumi ndiyo soko lake litaongezeka mara elfu...ni ulize how nitakueleza...unaona nyumba zote mbovu Tz? Hiyo ni nini kama siyo soko? Then uliza hao wata access vipi huku hawana cash hiyo ndilo jibu ambalo mchumi makini angehangaika nalo ambapo ni rahisi kulipatatia kuliko table ya pili...nipo natengeneza mfano baada ya miaka mitatu utasikia...acha nisiuze pass word kwa wakoloni...
Soko la tiles lipo kwetu zaidi ambao tunahitaji nyumba bora kuliko kule ambapo wanahitaji ku renovate tu...kanuni ya uchumi ni hivi penye matatizo mengi ndipo kwenye fursa nyingi na tafsiri sahihi ni ajira kwa watu...sasa ukimpa hiyo fursa mtu mmoja (monopoly) unaziba ajira za watu wengi sana na unapunguza strength ya maendeleo pamoja na ile ya serikali yaani kodi...kila mtu anamacho lakini nguvu na uwezo wa kuona sahihi ni kipawa na mafunzo (elimu)...tuwatumie wataalamu wapo wengi sana...hakuna kitu kinaitwa hauwezekani...mimi bahati nzuri nina neno lisemalo I can do all through him that strengthens me...na si kwa nguvu wala uweza bali kwake yeye atupaye kujua na nguvu ya kutenda sawa sawa na yeye...
Hivi AME ushawahi hata kumiliki genge kweli weye? Maana hii sio Mara ya kwanza tunacollide na point yako juu eti kwa population hii hatuwez kosa soko? Ulishawahi Lima hata mchaichai kweli? Yaan for sure ukienda ukamwambia mkulima atakuzaba makofi.
Utatengenezaje soko wakati huku unamua mnunuzi mkubwa ?
Umesema masoko yapo southern na east Africa unajua ilivongumu kuvusha nafak kwenda nje, unajua process mzima za kufuatilia vibali wizaran ilivo ngumu ni Mara ngapi tumesikia watu wamekamtwa wakivusha mahindi mpk wapate vibali? Mbona kwenye 10mil kumi hatujaona kuombana vibali?
Ushauri tu mdogo wangu, siasa sio kila kitu zaid inawafanya mnakuwa mabwege
duh...kwa hiyo uchumi wa vijijini unawategemea walimu pekeeOngezeko lipo tena kubwa ila siyo Darisalama...pesa imepelekwa kwa watu wengi zaidi na huko wao wana spend kwa basic goods and services...waalimu wote wanalipwa kwa wakati...posho zao pia wameanza kupatiwa baada ya kusimama kwa muda mrefu...pesa za shule za msingi impact yake ni kubwa kwenye welfare huko vijijini ambapo ilikuwa haifiki...hii ina maana kubwa zaidi...mwl wa primary badala ya kuhangaika na kulima bustani na kuuza ataanza kutumia muda wake kufundisha na kwakua maandazi bado anahitaji atasababisha mtu mwingine achukue hiyo fursa na yeye kwa posho yake awe mteja...hapo umeongeza welfare japo bado hujaongeza kodi ambayo kwa wakati ule ingeangukia kwa mafisadi ambao wangeitumia kununua magari ya mtumba Japan i.e capital flight na maziwa ya Kenya...mrija wa kunyonya unekatwa...matokeo ndiyo hayo, supermarket hazina wateja lakini kule kijijini kuna watu wanatengeneza maandazi ili mwl anayepata posho ale maandazi anunue mafuta ya alizeti...kilichopungua hapo ni cash kwakua huko vijijini biashara zao hazilipi kodi kwa sasa lakini posho ikiendekea kwenye kutakuwa na building of wealth through savings na kama kuba dis-incentive kwenye imports...mwl atanunua mashine ya kusaga baadaye kwahiyo kule kijijini badala ya kuuza mahindi basi watauza unga...ili hayo yatokee lazima kuwe na coordination...ndiyo kazi ya maafisa mipango na wakurugenzi wa Wilaya...
Tukitaka tutengeneza uchumi halis laziItachukua muda kutoka kwenye uchumi bandia (arificial economy) uliotenegnezwa wakati wa awamu ya nne kuja kwenye uchumi halisi.
Tulikuwa tunaelekea kwenye uchumi kama wa italy. Kila kitu kilikuwa so artificial lakini mwisho wake ulifika na sasa wanahangaika mno. Uchumi wao ulisimama kwenye rushwa na madawa ya kulevya.
Ili kurudi kwenye uchumi halisi, lazima fedha za rushwa, madawa ya kulevya na meno ya tembo zipotee.
OK imeongea point moja lakin bado nakwambia pamoja na kuwa na idadi kubwa ya RAIA serikali ndo inaua soko. Unajua hizo biashara ndogo ambazo zinapigwa vita ndo zenye pesa. Hizo biashara za kucheza pool mchana ndo pesa zenyewe hiz sabab sio wote wanaokuwa free mchana ni wezi.Uchumi hakuna wa sasa wala wa baadaye...imebakia kuwa hivyo hivyo in terms of institutionalization, yaani watu wanakula wanavaa na wanaishi ndani ya nyumba...kinachotofautiana ni preferences tu na programming...hiyo tiles unayoisema kama utafanya basics za uchumi ndiyo soko lake litaongezeka mara elfu...ni ulize how nitakueleza...unaona nyumba zote mbovu Tz? Hiyo ni nini kama siyo soko? Then uliza hao wata access vipi huku hawana cash hiyo ndilo jibu ambalo mchumi makini angehangaika nalo ambapo ni rahisi kulipatatia kuliko table ya pili...nipo natengeneza mfano baada ya miaka mitatu utasikia...acha nisiuze pass word kwa wakoloni...
Soko la tiles lipo kwetu zaidi ambao tunahitaji nyumba bora kuliko kule ambapo wanahitaji ku renovate tu...kanuni ya uchumi ni hivi penye matatizo mengi ndipo kwenye fursa nyingi na tafsiri sahihi ni ajira kwa watu...sasa ukimpa hiyo fursa mtu mmoja (monopoly) unaziba ajira za watu wengi sana na unapunguza strength ya maendeleo pamoja na ile ya serikali yaani kodi...kila mtu anamacho lakini nguvu na uwezo wa kuona sahihi ni kipawa na mafunzo (elimu)...tuwatumie wataalamu wapo wengi sana...hakuna kitu kinaitwa hauwezekani...mimi bahati nzuri nina neno lisemalo I can do all through him that strengthens me...na si kwa nguvu wala uweza bali kwake yeye atupaye kujua na nguvu ya kutenda sawa sawa na yeye...
duh...kwa hiyo uchumi wa vijijini unawategemea walimu pekee
unalima nini acha uongoUje nikuonyeshe ninavyo vimiliki then ukane kama sina hivyo...tena kwa pesa ya mshahara mdogo niliweza tengeneza mitaji na ku invest kwenye kilimo na biashara....siongelei nadharia nilianza mwenyewe kuzi practice nikaenda shule ku confirm kama kuna hizo theory nimerudi nipo confident, siwazi utopia...najua nachokiongelea...
Na sasa nafanyia biashara elimu yangu baada ya kujilipia school fees kusoma vinavyoweza niletea tija...haikuja bure..niligomea scholarship za kwenda kusomeshwa mambo mchanganyiko zisizokuwa na focus wala direction...
Huyu achana nae ndo wale wa kutetea kila ujinga sabab babake yupo sehemu fulan matokeo take akitoka tu ndo mwanzo wa kwenda kupanga manzeseduh...kwa hiyo uchumi wa vijijini unawategemea walimu pekee
walimu wa vijijini nao siku hizi wanalima....hawana tofauti na wanakijiji!Kwanza huo ni mfano na pia ndiyo wenye sustainable income na taasisi almost pekee nje ya serikali ya kijiji inayopatikana karibu kila kijiji...umenielewa I hope!
Nakwambiaje hata kama utakuwa navyo ni asante baba . maana MTU ambaye alianza kwa kufight mwenyewe hawez kuwa kama wewe. In short huna elimu yoyote ya biashara na hata kama utakuwa na nayo ni certificate in chama cha mapinduziUje nikuonyeshe ninavyo vimiliki then ukane kama sina hivyo...tena kwa pesa ya mshahara mdogo niliweza tengeneza mitaji na ku invest kwenye kilimo na biashara....siongelei nadharia nilianza mwenyewe kuzi practice nikaenda shule ku confirm kama kuna hizo theory nimerudi nipo confident, siwazi utopia...najua nachokiongelea...
Na sasa nafanyia biashara elimu yangu baada ya kujilipia school fees kusoma vinavyoweza niletea tija...haikuja bure..niligomea scholarship za kwenda kusomeshwa mambo mchanganyiko zisizokuwa na focus wala direction...
Huyu hajui anachoongea ni propaganda. Angekuwa na hata anajua, walau angepitia na kunangalia how Dubai and Singapore developedwalimu wa vijijini nao siku hizi wanalima....hawana tofauti na wanakijiji!
Hakuna kitu kibaya kama kugombea nafasi kubwa katika nchi, huku moyoni unajiapiza kwamba nikiingia madarakani watu flani watanikoma.Lengo la serikali ni kuhakikisha mnashindwa hata kununua maji safi , mrudi kwenye maji ya visima au ya dawasco .
Hao polisi ndio wa kuhurumiwa sana , zile bia za extreme ( unalipa buku unapewa 3 ) walizokuwa wanapewa zimefutiliwa mbali , kwa mishahara yao hafifu wengi wamerudia gongo .