Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Unalia yaani machozi kabisa au?
Ni unakua unajutia ulichofanya?

Tafuta mume
 
ni kitu cha kawaida hicho kuna mawili hapo

,.....analia kwa furah ya kupta new guy na kukupa gegedo lililokukuna vizur unalilia utamu

,......unakuwa na mawazo ndni ya kichwa huyu nae kaona tena umbo lngu naked litaonwa na wangapi hadi ndoa....also unaogopa ishu za kuachwa tena na penzi ushatoa uuuuuupsi
 
hayo yote nafanya, hunikumbatia kumbato zuri tu, na wakati huo sasa ndo machozi yanaponitoka bila sababu, huwa najitahidi asijue kama nalia coz akishaanza kunibembeleza ndo yanazidi kumwagika na kwikwi juu! na nashindwa kujizua kabisa, mpaka aniache kwa masaa kadhaa ndo nakuwa normal....

so sipendi hali hii coz hata ningekua nafanyiwa mimi nisingejisikia vizuri coz hata akiniuliza nalia nini sina cha kumjibu! umri wangu ni kati ya 20-25
 

yah well said ... hujambo ICHANA miss u
 
Last edited by a moderator:

we ni wa kupigwa makofi... utanyamaza tu!!!
 
Mkuu b,
nunua kitu chaitwa kohul yapatikana K'koo utumie once before na once after !! yote yataisha na kubaki ukicheka.......!
 
Hilo ni jini mahaba ndio linakuliza nenda kwenye maombi
Hamna mwanadamu mungu kamumba akiliwa alie Nooooo......
 
kwan siku hizi bado kuna kuombana!!! nkikupa chupa ya red wine tu, ukiimaliza utaniachia mwenyewe....

ha ha ha inategemea na ntu na ntu mkuu wengine mpaka zile zenye 40%alc mkuu ndiyo utatubeba tena kama maji amna kama yapo forget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…