Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

Ushaonesha utanzania halisi.
Kama una chance msaidie hayo mengine yanakujaje
Mkuuu hapa JF Wadau wakishasaidiwa huwa wanageuka kuwa wajuaji na hawana tena muda wa kuja kushukuru members waliotoa mwangaza wa kufikia mahitaji yao.
[/
 
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...

Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
.
.
Niende kwenye maada moja kwa moja
.
.
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
.
.
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.
.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.
.
Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.
.
Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.
.
Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.
.
.
Elimu yangu: Degree ya Compute Security (Bsc in cyber security)

Napatikana: Dar es Saalam

Namba yangu ya simu: 0755-836-347

Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.

Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.

Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu

Mungu awabariki sana sana.
Pole mkuu,hizi ni changamoto za maisha,sali sana naendelea kumwomba mungu utafanikiwa tu,usikate tamaa
 
Mkuuu hapa JF Wadau wakishasaidiwa huwa wanageuka kuwa wajuaji na hawana tena muda wa kuja kushukuru members waliotoa mwangaza wa kufikia mahitaji yao.
Mbona unahukumu kabla hujamskia mhusika
 
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...

Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
.
.
Niende kwenye maada moja kwa moja
.
.
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
.
.
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.
.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.
.
Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.
.
Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.
.
Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.
.
.
Elimu yangu: Degree ya Compute Security (Bsc in cyber security)

Napatikana: Dar es Saalam

Namba yangu ya simu: 0755-836-347

Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.

Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.

Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu

Mungu awabariki sana sana.
Dogo utaibiwa sana tu humu, tulia ishu yako naishughulikia, asubuhi tuliwasiliana, hr atakutumia barua, njoo huku Musoma, japo ni nafasi ya kujitolea ila ukiwana bidii hautakosa laki nne kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom