Naleta simu kwa order from korea

Tafuteni mitaji mfanye biashara mtu anatoa pesa unampa mzigo. Sio mambo ya kina Kelvin Isaya na ma mods walimlinda pia humu hakueleweki aisee
 
mkuu kuna sim ya mzee wangu imekufa kioo na ilinunuliwa huko huko korea ni aina ya lg, kinaweza kupatikana? na kwa shilingi ngapi?
 
ASA si ulete kwenye begi kisha uuze kuliko kutaka kuwaibia watu,vipi nikupe hela harafu Mara ufe kwa gafla nitapataje pesa Yangu,au Mimi nikifa itakuwaje,au uibiwe hela itakuaje,mi situmi bwana
Swali zuri san
 
mkuu kuna sim ya mzee wangu imekufa kioo na ilinunuliwa huko huko korea ni aina ya lg, kinaweza kupatikana? na kwa shilingi ngapi?
Kiukweli kwa hapo ntakuwa mgeni kaka sijawai kukutana na kesi kama hyo hvyo ningumu kujua kaka
Gold ni 300000 kamili na black ni 350000 ila gold kwenye kamera imemeguka kidogo kutokana na ubebaji boss ila iko vizur na inafanya kaz vizur tu na lg prada ni 250000 mpaka 200000 mwisho
 
Tafuteni mitaji mfanye biashara mtu anatoa pesa unampa mzigo. Sio mambo ya kina Kelvin Isaya na ma mods walimlinda pia humu hakueleweki aisee
Natumaini wewe ni jinsia ya kike dada bila shaka mm sijasema natafuta mtaji soma vizur kichwa cha habar dada alafu watu tupo tofaut dada angu cha kujiuliza ulishawai kufanya biashara na mm ukakutana na hayo ya kelv sijui na nani labda utakapo kuwa unasema hvyo uwee unasema mm huyu nilishawai kumuagza simu akanitapeli hvyo kuwen makin na sio kusema tu dada pasipo kujua
 
Huo ndio utapeli wenyewe kwanini usituhakikishie hapahapa... Mbinu unazotumia ni za kizamani sana
Kaka angu umeniambia unataka simu gani nikakutajia bei je umefikia hatua yakusema tufanye biashara unipe hyo advance alafu tuandikishane na nikupe watu wawe ndio dhamana sio wakijinga jinga wanaoeleweka alafu utakapo ipata simu yako urud tena uandike kwamba mm sio tapeli
 
Kitomari alinitapeli elfu sabini na nilikuwa ninajinyima mno ila Mungu ameshamuadhibu vya kutosha
Ukifikia unataka kufanya biashara na mm nichek kwa hyo namba uje tuakikishiane alafu urud kwenye uzi huo uonge uliokuwa unaniwazia ndugu yangu wengine dhuluma atujazoea ndugu
 
Natumaini wewe ni jinsia ya kike dada bila shaka mm sijasema natafuta mtaji soma vizur kichwa cha habar dada alafu watu tupo tofaut dada angu cha kujiuliza ulishawai kufanya biashara na mm ukakutana na hayo ya kelv sijui na nani labda utakapo kuwa unasema hvyo uwee unasema mm huyu nilishawai kumuagza simu akanitapeli hvyo kuwen makin na sio kusema tu dada pasipo kujua

Wewe nunua bidhaa uzitangaze humu akiipenda mtu aje akupe cash umpe mzigo biashara sijui umuagizie ni issue.
 
Wewe nunua bidhaa uzitangaze humu akiipenda mtu aje akupe cash umpe mzigo biashara sijui umuagizie ni issue.
Nimeshafanya na nimeleta mzigo tokea mwaka jana mwez 12 nilikuja nazo na zimebak tatu namzunguko wake uko slow sana na ndio maana nikasema kwa order ili nikileta mzigo uzunguke kwa haraka na kuisha fasta my dear
 
Haha mkatapeli watu ooh simu ziko Zanzibar lipia tukuletee kumbe utapeli
Kuna jamaa ni muhindi anaitwa Ridhaa. Nae ana kurasa FB anaiita Ridhaa Phone. Ndio lugha zake hizo. Eti simu na smart watch zake ziko Zanzibar, tunapokelea huko halafu wanaleta Dsm. Jamaa hafai kabisa.
 
Hii bei mbona juu huku ukifata china sasa si sawa na kununua k/koo bila order mkuu mtu amesubili halafu bei mbaya sasa utamshawishi vipi mtu!!
Product za korea na china nitofauti kaka chunguza kariakoo kupata simu original utakesha bosi na korea kiwanda kinacho tengeneza vitu feki avina maisha tofaut na china kopy nying sana kaka
 
Kuna jamaa ni muhindi anaitwa Ridhaa. Nae ana kurasa FB anaiita Ridhaa Phone. Ndio lugha zake hizo. Eti simu na smart watch zake ziko Zanzibar, tunapokelea huko halafu wanaleta Dsm. Jamaa hafai kabisa.
Kama uko serious unataka tufanye biashara njoo pm na namba hizo na sio vitu vya kuniambia au kunifananisha na watu wengine ili nikuakikishie sikutapeli na uwee na aman
 
Mnaiibiwaaaaaaaaaaaa!!!

MNAIBIWAAAAAAAAAAA

Shitukeni!!!!
Huu ni uzi wa pili una lenga haya haya (utapeli)
Na mfungua uzi ni huyu huyu.

Give them money at your own high risk.
 
Back
Top Bottom