Naleta simu kwa order from korea

Naleta simu kwa order from korea

Aina Za simu ni samsung, iphone,ipad,lg na washukuru kwa walionifata pm na inbox tukaelewana na mnunuzi serious namba hizo 0677177140 na ukitaka kuaminishwa ili usione unatapeliwa au kuibiwa ela yako au kuona kama vile umeingizwa mjini njoo nikuaminishe maana nimeshambuliwa kama vile mm nitapeli ila Sisi wengine ni wafanyabiashara wa mitandaon ndio maisha yetu yalipo tunakula na familia mnunuzi ambae anaweka depost ya ela aje nimuakikishie ili asione kama ameibiwa bure tukapelekana sifa mbaya Bure kwa tulio pishana kauli tusamehane maana biashara zinachangamoto kwa kweli mnunuz anaeniagiza na kuweka deposit ya pesa aje nimuakikishie ili ajue aibiwi ela ya na asanten kwa mlionifata pm na kwa simu
Aje Wapi?

Elezea Vizuri mahali unapopatika "physically" au ilipo ofisi yako kama Unayo, Pamoja na Mambo mengine yenye kuthibitisha uaminifu wako, ili ikuondolee hizo tuhuma ama hisia mbaya miongoni mwa wanajukwaa.

Matapeli wa Mitandaoni wapo wewe waweza kuwa usiwe miongoni mwao lakini haizuii hisia za watu kwako. "wasi wasi ndio akili".
 
Usipate shidaa boss wewe ataukitaka wap ilimrad uniamini mm akuna shidaah
Hivi Unataka kuaminika kwa "maneno maneno" mepesi hivyo?

Mbona humjibu huyo Mchangiaji hayo maswali yake?

Na badala yake unabaki ukisisitiza tu Kufanya biashara na Kuaminika?

How???!
 
Wewe umesema unataka tukaandikishane pale sindio nikakuambia ainashidaah angalizo ukija uje kwa ajili ya biashara na sio kutongozana kaka angu sawaa mwingne atafunga safar uko wee baada ya biashara tuanzekutongozana wengne tunawanaume wakorofi awapendi ujinga kabsa
Then Wewe ni "Mwanaume" unajiita mwanamke mashaka yangu ni Mrs S kweli, Mshangao Wangu upo kwenye Usalama wa "Marinda" Yako.

Between line una thibitisha hilo, hayo mambo yakutongozwa umeyatoa wapi katika maswali uliyoulizwa?

Au ndio diversion gear?
 
Njoo na point ya simu kaka sawa hayo mengine ni personal ishu zangu sawa usinilazimishe kusema vitu ambayo havi husian na uzi nilio utuma sawa uku nikunichimba maana hayo haya husiani kabsa oo sijui mara usajili sio wako nimesha wajibu msiendee kunichimba vitu vingine utakiwi kujua kwamba ilikuaje mpaka ikawa hvyo kama wewe ni mteja ambae unataka kununua simu kama walivyonifata wengne na tukakamilisha wa kajidhihirishia na kuniamini lakn sio unichimbe kujua mambo yasio husiana na uzi nilio upost jwa hapo stowez kujibu hizo ni private ishu zangu kaka kama ntakuwa nimekujibu ukakasirika nisamehe sana natumaini utanielewa
 
Hivi Unataka kuaminika kwa "maneno maneno" mepesi hivyo?

Mbona humjibu huyo Mchangiaji hayo maswali yake?

Na badala yake unabaki ukisisitiza tu Kufanya biashara na Kuaminika?

How???!
Ukiwa unahitaji simu njoo pm au nichek kwa simu sawaa na kufata utaratibu wote wakuandikishana ili uwee una uhakika sasa wengine unakuta sio mnunuz alafu unakaa kunichimba kuhusiana na ishu zangu binafs ooo sijui usajili wa line sijui nn sio wa kwako unachotaka sikuhakikishiwa utotapeliwa ili uwee na aman kama hao wengne walivyo kuja tukakutana tukaandikishana na akajua ikitokea atanipatia wap kama nitakuwa nimemtapeli na akaridhia na akawa na uhakika wa kuwa ela yake ikitokea nimemtapeli atamdaka nani kama mm nitakuwa nimetokomea na hyoo ela
 
Njoo na point ya simu kaka sawa hayo mengine ni personal ishu zangu sawa usinilazimishe kusema vitu ambayo havi husian na uzi nilio utuma sawa uku nikunichimba maana hayo haya husiani kabsa oo sijui mara usajili sio wako nimesha wajibu msiendee kunichimba vitu vingine utakiwi kujua kwamba ilikuaje mpaka ikawa hvyo kama wewe ni mteja ambae unataka kununua simu kama walivyonifata wengne na tukakamilisha wa kajidhihirishia na kuniamini lakn sio unichimbe kujua mambo yasio husiana na uzi nilio upost jwa hapo stowez kujibu hizo ni private ishu zangu kaka kama ntakuwa nimekujibu ukakasirika nisamehe sana natumaini utanielewa
No wonder hao utakaowapata...

Pole sana kijana that's too low.
 
No wonder hao utakaowapata...

Pole sana kijana that's too low.
Usiwez kukatika tamaa kwa maneno mnayo sema na kuongea sawaa kwa sababu wengine mpo kwa ajili ya kumfanya mtu asisonge mbele kwa hilo kwangu siwez kukata tamaa hata kidogo yaan nilipo toka napajua na ninapoenda napajua kaka
 
Back
Top Bottom