Naleta simu kwa order from korea

Naleta simu kwa order from korea

Aina Za simu ni samsung, iphone,ipad,lg na washukuru kwa walionifata pm na inbox tukaelewana na mnunuzi serious namba hizo 0677177140 na ukitaka kuaminishwa ili usione unatapeliwa au kuibiwa ela yako au kuona kama vile umeingizwa mjini njoo nikuaminishe maana nimeshambuliwa kama vile mm nitapeli ila Sisi wengine ni wafanyabiashara wa mitandaon ndio maisha yetu yalipo tunakula na familia mnunuzi ambae anaweka depost ya ela aje nimuakikishie ili asione kama ameibiwa bure tukapelekana sifa mbaya Bure kwa tulio pishana kauli tusamehane maana biashara zinachangamoto kwa kweli mnunuz anaeniagiza na kuweka deposit ya pesa aje nimuakikishie ili ajue aibiwi ela ya na asanten kwa mlionifata pm na kwa simu
Umekiri kwenye ule uzi kuwa huna physical address, sasa unaaminikaje?
Au ni kwa kutabasamu?
 
ASA si ulete kwenye begi kisha uuze kuliko kutaka kuwaibia watu,vipi nikupe hela harafu Mara ufe kwa gafla nitapataje pesa Yangu,au Mimi nikifa itakuwaje,au uibiwe hela itakuaje,mi situmi bwana
Una roho mbaya kwann afe
 
Kwani MTU kufa ni roho mbaya,kifo si ndiyo ukweli usiopingika nyie vipi
 
Nataka Note 3 na Note 4 za 32GB na ziwe na uwezo wa 4G utaniletea kwa bei gani maana nataka compare ni kiagiza kwako na nikiagiza from China wapi nitasave.
 
Sina tatizo na ulivyojipambanua kamamda,me napenda kuona jambo moja tu katika biashara zako namba ya simu iwe added advantages,je katika mikataba yako ya kupokea advance unaweza ukawa unaambatanisha na copy na namba yako ya National ID pamoja na passport maana hiyo ndio njia rahisi ya kukuverify maana naamini we unania njema tu watu wakikuelewa utafaidika sana na biashara zako.
 
Sikuizi matapeli wengi kweli
Ni kweli unachosema na kufikiri ila cha kujiuliza ulisha wai kufanya biashara na mm boss na nikakutapeli kama umewai ni haki unihukumu hvyo kiongozi
 
Mnaiibiwaaaaaaaaaaaa!!!

MNAIBIWAAAAAAAAAAA

Shitukeni!!!!
Huu ni uzi wa pili una lenga haya haya (utapeli)
Na mfungua uzi ni huyu huyu.

Give them money at your own high risk.
Asante kwa changamoto zako jogi unanisaidia sana ujui tu na kule nimekuacha maana walionishaur na walionifata pm na kwenye simu wamenishaur nikuache maana mteja hayuko hvyo hvyo andika uwezavyo na ufikiriavyo na akili yako wewe unachotaka mm nikutolee maneno machafu ila nimeshakuelewa watu kama wewe sipati nao shidaah jogi wapo wengi tu atanilivyoanza kufanya biashara nilikutana na mtu kama wewe hvyoo ooo wewe uto weza ni mwanamke nikamwambia sio mm wewe subri utoe macho nasasa anaona haya kwa hyoo wewe kazana sawa jogi
 
Umekiri kwenye ule uzi kuwa huna physical address, sasa unaaminikaje?
Au ni kwa kutabasamu?
Wewe sio mnunuz kaka sawaa wanunuz wamesha jiakikishia wenyewe sawaa wewe endelea kuandika unavyofikiri sawa wewe ni mwanaume mm ni mwanamke na akili tumetofautiana kaka nilikuambia kama upo kwa kunikwamisha unijui nilipo anzia safari yangu ya kutafuta maisha na ujui chochote kwa kukusaidia endelea kuongea utakavyo sawaa
 
Nataka Note 3 na Note 4 za 32GB na ziwe na uwezo wa 4G utaniletea kwa bei gani maana nataka compare ni kiagiza kwako na nikiagiza from China wapi nitasave.
Ngoja nikusaidie china kaka angu kupata kitu original ni kaz sana lakn korea uk usa uko na dubai india uhakika upo asilimia mia moja unaweza letewa mzigo ukafanana na original lakn kwenye ubora ni tofaut kaka note 3 460000 na note 4 600000 zinakuja na box yake na kila kitu chake boss
 
Sina tatizo na ulivyojipambanua kamamda,me napenda kuona jambo moja tu katika biashara zako namba ya simu iwe added advantages,je katika mikataba yako ya kupokea advance unaweza ukawa unaambatanisha na copy na namba yako ya National ID pamoja na passport maana hiyo ndio njia rahisi ya kukuverify maana naamini we unania njema tu watu wakikuelewa utafaidika sana na biashara zako.
Kwa hapo usijali kaka yangu ukiwa tayari njoo pm au nicheck kwa namba yangu hakuna shidaah kaka angu
 
Mkuu huyu jamaa yamemsibu yapi tens maana na mm alikula hela yng
Polen kwa mlio tapeliwa ila binafs mm kwa atakaye kuwa tayari kuniagiza na kunipa dhamana ya pesa yake aje pm au anichek kwa namba hizo mm binafs hii ndio biashara inayonisaidia na familia yangu ili ni mdhibitishie na kumuhakikishia mm sio tapeli na ela yake iko kwenye mikono salama ili awee na amani maana kwenye biashara uhaminifu kitu cha msingi siku zote
 
Ngoja nikusaidie china kaka angu kupata kitu original ni kaz sana lakn korea uk usa uko na dubai india uhakika upo asilimia mia moja unaweza letewa mzigo ukafanana na original lakn kwenye ubora ni tofaut kaka note 3 460000 na note 4 600000 zinakuja na box yake na kila kitu chake boss
Sio kweli China ukitaka kitu original unapata kabisa ni ww tu na pesa yako yaan mchina anatoa product kutoka grade A mpaka z ni pesa yako tu yaani unaweza kununua cm kwa milion moja hapa China na simu hiyohiyo ukaipata kwa laki mbil hapa so ni wewe utakavojieleza na bajeti yako so uzuri ni kuwa wanakuweka wazi kabisa uamuzi unakuwa ni wa mteja so sio kwel kuwa China hakuna vitu original
Wafanyabiashara wengi wa Tz wakifika kule wanachukua Mzigo wa low quality ili wauze fasta warudi tena ndo maana Tz ukisikia cm ni ya mchina mind set zetu zinakuja kuwa cm ni fake ila si kweli China wana the best product ever ni wewe tu na mshiko wako
 
Ndugu nisibishane nawewe kuna dada alijua kufata korea vitu ni raisi nilienda nae akafanye upelelez yeye mzigo anachukulia china alishusha mikono chini kaendelea na china yake china kwa asilimia kubwa inajulikana ni nchi ambayo vitu fake vipo vingi na original ni vichache jiulize ile simu iliokuwa inalipuka ilitoka nchi gani kachukue simu ya china beba na korea mtafute mfanyabiashara wa hvyo vitu atakuambia ujiuliz kwa nn wafanya biashara wengi ukimbilia china kufata mzigo china vitu ni cheap ubora sio na korea akuna fake my friend kule ukitengeneza vitu visivyo na ubora wewe awakuachi lazma unyongwee maana unaitia aibu nchi
 
Back
Top Bottom