Naleta simu kwa order from korea

Naleta simu kwa order from korea

Nafikiri ungezileta kwanza harafu ukaziuza mtandaoni kwa kutumia pesa yako c kutumia mtaji wa mtu
Nimefanya hvyo tayar na zimebaki
20170419_100239.jpg
20170302_133504.jpg
20170302_133417.jpg
hzo na ndio maana nikaona unaweza leta zikachukua muda tena boss bora ulete kwa order zikifika unampigia mtu simu tu anafata mzigo wake bila shidaah itanirahisishia pia
 
Unaleta simu za aina gani na bei ni kuanzia sh ngap?!
 
Mkuu hiyo LG uliyoiweka shilingi ngapi unauza?
Gold ni 300000 kamili na black ni 350000 ila gold kwenye kamera imemeguka kidogo kutokana na ubebaji boss ila iko vizur na inafanya kaz vizur tu na lg prada ni 250000 mpaka 200000 mwisho
 
Hata mi nimeona uz alioukimbia
Sijaukimbia ila watu walinishaur chamsingi kuna wengne tulikuwa tunajibishana nikaona sio vema kujibishana na uku aipendez ndio maana nikaandika upya mnunuz ambae anataka tufanye biashara ili tuaminiane anichek kwa namba hzo na tuandikishane ataserikal za mitaa na vingnevyo ili aweze kuniamini kuweka depost yake
 
Back
Top Bottom