Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,351
- Thread starter
- #21
Sana nakubali Mzee wa kungoja muongozo😀
Sana nakubali Mzee wa kungoja muongozo😀
Mwanza hii day ni elf kumi hadi 20 ila inatokana na kazi yenyewe mkuu kuipata iyo 15 kupanda juu sio mchezo yaani ni mateso vile nikikumbuka sitamani kurudi uko kabisa 🥺Day walikua wanalipa kiasi gani mkuu?
Hatari sana,naijua hii mkuuMwanza hii day ni elf kumi hadi 20 ila inatokana na kazi yenyewe mkuu kuipata iyo 15 kupanda juu sio mchezo yaani ni mateso vile nikikumbuka sitamani kurudi uko kabisa 🥺
Mwanangu jana nimeshuhudia saidia fundi si kazi ya kitoto!! Pole sana mwanangu!! Nilimuona saidia fundi jana anapandisha mfuko wa cement 50Kg kwenye ujenzi wa ghorofa; inabidi akatize baadhi ya sehemu zimepigwa mirunda zinakuwa kama chocho Fulani hivi, so ikabidi autoe begani na kuupakata kama kapakata mtoto mchanga!! Daah!!! 😂😂😂!! Ikanifanya nikumbuke huu uzi!! Mwanangu saidia fundi wanapitiaga suluba haswa !!! Si kitoto!!Amen pamoja Sana mkuu safari inaendelea dah ila saidia fundi Wana kazi asee🥺
Sio mchezo kabisa, pole zimewafikia saidia fundi.Mwanangu jana nimeshuhudia saidia fundi si kazi ya kitoto!! Pole sana mwanangu!! Nilimuona saidia fundi jana anapandisha mfuko wa cement 50Kg kwenye ujenzi wa ghorofa; inabidi akatize baadhi ya sehemu zimepigwa mirunda zinakuwa kama chocho Fulani hivi, so ikabidi autoe begani na kuupakata kama kapakata mtoto mchanga!! Daah!!! 😂😂😂!! Ikanifanya nikumbuke huu uzi!! Mwanangu saidia fundi wanapitiaga suluba haswa !!! Si kitoto!!
😂😂😂
Poleni sana saidia fundi wote .
Pole sana Mwana na umefanya jambo jema kurudisha shukrani huo ndio Uungwana, jf 4life.Wakuu amjambo!
Naleta shukrani zangu za dhati Kwa wote ambao mlinipa michango yenu nilipoleta Uzi wangu wa kuomba ushauri wapi ntapata vibarua vya saidia fundi,
Vibarua nilivipata nimefanya miezi sita lengo langu likiwa ni kupata mtaji nianze bishara Nina furaha sana haikuwa kazi nyepesi, saidia fundi ni kazi ngumu sana kabisa kuhenyeka siku nzima sio mchezo kabisa.
Nina furaha sana,
Asanteni wakuu.
Sana mkuu.Pole sana Mwana na umefanya jambo jema kurudisha shukrani huo ndio Uungwana, jf 4life.
Yaani unampeleka kwenye sadaka tena?Hongera.
Shukrani inaweza kichochea kupata vitu vingine vizuri zaidi. Umrwashukuru wana JF. Nakuongezea ushauri mwingine: Mshukuru Mungu kwa kinywa chako lakini pia toa sadaka ili uendelee kubarikiwa zaidi.
Kwani sadaka ina ubaya gani?Yaani unampeleka kwenye sadaka tena?
Nani kasema ina ubaya?Kwani sadaka ina ubaya gani?