Naleta shukrani zangu Vibarua nilivipata

Mr fantastic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
1,152
Reaction score
1,351
Wakuu amjambo!
Naleta shukrani zangu za dhati Kwa wote ambao mlinipa michango yenu nilipoleta Uzi wangu wa kuomba ushauri wapi ntapata vibarua vya saidia fundi,

Vibarua nilivipata nimefanya miezi sita lengo langu likiwa ni kupata mtaji nianze bishara Nina furaha sana haikuwa kazi nyepesi, saidia fundi ni kazi ngumu sana kabisa kuhenyeka siku nzima sio mchezo kabisa.
Nina furaha sana,
Asanteni wakuu.
 
Hongera kwa kutimiza malengo. Wabarikiwe wote waliokupa connection. Endelea kupambana.
 
Back
Top Bottom