Naleta mashtaka kwako baba Paroko

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Naleta mashtaka kwako baba Paroko, naleta mashtaka kwenu kanisani, mimi na mama ya watoto nyumbani kivumbi na jasho. Nyumbani hapaliki wala hapalaliki, kisa na mkasa Paroko sielewi

Ni wiki ya tatu mfululizo vituko baada ya kituko,
Ni wiki ya tatu baba Paroko kituko baada ya kingine.
Nanyimwa hata haki yangu ya ndoa Paroko nitetee.
Eti nikilala naye nisimsemeshe, nikimgusa napigwa kipepsi!!
Eti tukilala wala nisimchombeze, nikimpapasa napigwa na kisigino.

Ni wiki ya tatu baba Paroko kituko baada ya kituko.
Ni wiki ya tatu haki ya MUNGU kituko baada ya kingine.
Nanyimwa hata haki yangu ya ndoa, paroko nilioa kwanini?
Eti nikilala naye nisimsemeshe, nikimgusa napigwa kipepsi.
Eti tukilala wala nisimchombeze, nikimpapasa napigwa kisigino!!

 
Week 3 tu naye akaenda kwa baba paroko. Ingekuwa miezi miwili je ?
 
Baba paroko kama nakuona unavyomyima kura bashite kinondoni
 
Makassy junior huyo nimefanya nae sana kazi kipindi flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…