Nakwenda Moshi na gari binafsi. Niweke mafuta kiasi gani?

Gloriamagret

Member
Jun 12, 2023
47
155
Naondoka asubuhi na gari yangu binafsi Harrier 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.

Gari ni mpya kilomita 560 from Dar to Moshi niandae lita ngapi.

Natumia AC mwanzo mwisho, driving speed 80 to 120.
 
Naondoka asubuhi na garo yangu binafsi harria 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.
Gari ni mpya kilomita 560 from dsm to moshi.niandae lita ngapi.natumia ac mwanzo mwisho.driving speed 80 to 120.
Inategemea Moshi ipi but Dar to Moshi kwa Harrier wastani wa lita 55.
So ukiwa na Lita 70 kwenda uko salama zaidi
 
Nilitegemea unatafuta MTU wa kukusaidia kuendesha au watu wasio na uwezo iwape lift, kumbe unataka kutujuza kwamba umenunua gari kubwa nyumba halafu unaiona mpya.

Kwani ulaji wa mafuta si umeandikwa kwenye kijitabu Cha gari au mangi hujui kusoma kiingereza?
Ninyi ndio mnapiga picha na gari na kuzirusha Facebook.

Mchaga gani mshamba wewe, hizo tabia za kuringishia watu magari tumewaachia wamakonde kina konde boy na wanyakyusa.
 
Mpaka unauliza hili swali maana yake huna uzoefu wa hiyo route kwa kuendesha na probably gari lako umenunua hivi karibuni. Cha msingi uzingatie umakini barabarani na mvua hizi route ya Moshi imekuwa na visa. Ukiongeza na wingi wa safari za mwisho wa mwaka hasa kesho na keshokutwa.

Safari njema
 
Back
Top Bottom