Nakwenda Hijja Inshallah

Nakwenda Hijja Inshallah

Bwana Yesu akutangulie...!

Neema ya Bwana wetu YESU, na UPENDO WA MUNGU BABA MWENYEZI, NA USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU VIWE NAWE DAIMA!- AMINA.
 
Kila la kheri, inshaallah Allah yu pamoja nanyi
 
Kuwa makini tu wakati 'wanapomponda shetwani' wasije wakakuponda na wewe

Mkuu October,
Hivi ni shetani wa aina gani huyo anayeweza kupondwa kwa mawe? Hakika madrasa ni mbaya kuliko. Mhhhh!
 
Bwana Yesu akutangulie...!

Neema ya Bwana wetu YESU, na UPENDO WA MUNGU BABA MWENYEZI, NA USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU VIWE NAWE DAIMA!- AMINA.

Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.
 
tahadhali kuna mafua ya nguruwe huko, lakini mbona majina yako magumu sana. mmh huna hata jina moja la kibantu. haya nisikuchimbe sana, ukatubu dhami ya kudanganya jina lako muda mrefu japo leo umetutajia.
 
Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.

Angalia usikanyagwe kama nyasi huko!...Bila roho Mtakatifu

Makka ni kama msikiti wa Sombetini kwa Shekhe Kitumbo,

na bila Yesu kuhiji ni kama kucheza dimbadimba au Nage!

Bear in Mind pal!
 
Ni wapi nilipokwambia au kukudanganya jina langu. Weka mambo hadharani ni jina gani nililokwambia kuwa ni jina langu.

Naomba ufafanuzi au niombe radhi kwa kunisingizia.
 
tahadhali kuna mafua ya nguruwe huko, lakini mbona majina yako magumu sana. mmh huna hata jina moja la kibantu. haya nisikuchimbe sana, ukatubu dhami ya kudanganya jina lako muda mrefu japo leo umetutajia.

Vile vile NOTE that mimi ni MWARABU wa asli ya OMAN ingawa ni raia wa Tanzania. na hata wake zangu wote wawili ni waarabu ikiwa pamoja na kizazi changu chote.
 
Angalia usikanyagwe kama nyasi huko!...Bila roho Mtakatifu

Makka ni kama msikiti wa Sombetini kwa Shekhe Kitumbo,

na bila Yesu kuhiji ni kama kucheza dimbadimba au Nage!

Bear in Mind pal!

Eeh Allah niepushe na huyu Roho Mtakatifu na nifanyie wepesi katika hija yangu pamoja na jamii yangu.

Roho Mtakatifu...SHINDWA SHINDWA na Ulegee
 
bora utakutana na waarabu wa huko ila nakushauri usipitie mombasa mwanangu waarabu wa kule nomaaaaa....kazi kwako
“Ewe Mwenyezi Mungu Muongoze mja wako huyu na familia yake, pamoja na Uliowaongoza, na Umpe afya njema yeye na familia yake, pamoja na Uliowapa afya njema, na Mfanye kuwa ni kipenzi chako yeye na familia yake pamoja na Uliowafanya wapenzi na umbariki katika katika safari yake hiyo tukufu, Hakika ameitikia wito wako pamoja na hao walio itikia kabla, basi zikubali dua zake na zetu pamoja na familia zetu… Mbariki katika Ulichompa na mkinge na shari ya Ulilolihukumu kwani Wewe Unahukumu wala Huhukumiwi. Hakika hadhaliliki Uliyemfanya mpenzi (wala hatukuki Uliyemfanya adui) Umetakasika Ewe Mola wetu na Umetukuka, basi tuwezeshe na sisi tuweze kuitikia wito wako mtukufu, ili nasi tuweze kwenda kwenye nyumba yako tukufu…" Amin Insha'Allah

“Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe tu Ndiye tunaekuabudu, na Kwako tunaswali na tunasujudu, na Kwako tunakimbilia na tunakutumikia, tunataraji rehema Yako na tunaogopa adhabu Yako, kwani adhabu Yako hakuna shaka kuwa makafiri itawifikia. Ewe Mwenyezi Mungu hakika sisi tunakutaka msaada na tunakutaka msamaha na tunakusifu kwa kheri na wala hatukukufurishi na tunakuamini Wewe, na tunakunyenyekea na tunamuepuka anaekukufuru”

Subhaanal-Malikul-Qudduus
Subhaanal-Malikul-Qudduus
Subhaanal-Malikul-Qudduus

Rabbul-Malaaikati War-Ruuh

Tunakutakia safari njema Insha'Allah

X-Paster
 
Eeh Allah niepushe na huyu Roho Mtakatifu na nifanyie wepesi katika hija yangu pamoja na jamii yangu.

Roho Mtakatifu...SHINDWA SHINDWA na Ulegee

Bosi wako mzee Mwamedi anamtambua Roho Mtakatifu, itakuwa ya wewe?
"....Nami kabla sijaifikia Pepo, Naikurubisha roho yangu katika mikono ya Issa Ibn Mariam(yaani Yesu-Kristo)....Mwamedi"
 
wana jf.

Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa mimi hamad moh'd hafif al- mugheiry na wake zangu wawili bi kuruthum suleiman al yahayai na bi zelekha khamis al harthy na bint yangu mpenda dr mufiydat hamad al mugheiry sote kwa pamoja tunasafiri kwenda kwenye mji mtakatifu wa makkah na madinna kwa ajili ya kuhirimia hijja.

kama ilivyo addah kuwa yeyote anaekwenda huko basi ni sharti pamoja na kuhakikisha kuwa wale wote wanaomtegemea kuwa hawata pata taabu kipindi yeye hayupo lakini pia unatakiwa uwaage ndugu, jamaa na marafiki wote na kupata radhwi zao.

na mimi kwa niaba ya familia yangu nawaaga rasmi kuwa nakwenda hijja tarehe 10 nov 2009 kwa yemen air na baada ya ibada ya hijja nitakwenda kusalimia jamaa huko muscat na yemen na insh'allah nataraji kurudi tanzania mwishoni mwa december.

Nawatakia kila la kheir na naomba dua zenu katika safari yangu hiyo. Tuwiane radhi kwa niliowakosea na nimewawia radhi walionikosea.

Nawatakia barza njema
sikuombi radhi kwa maana mwenyewe ulihide identy na ukasema kama kama tunasikia tetesi basi wewe ndo mwenye majina hayo yakiarabu, ambayo mimi siwezi kuyatamka .
 
badala ya kutafuta utakatifu unatafuta laana....umeishiwa ndugu alaaniwe allah kwa kuendelea kuwapotosha watu wa Mungu.Maana Mungu na allah ni tofauti kabisaaaa
Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.
 
Bosi wako mzee Mwamedi anamtambua Roho Mtakatifu, itakuwa ya wewe?
"....Nami kabla sijaifikia Pepo, Naikurubisha roho yangu katika mikono ya Issa Ibn Mariam(yaani Yesu-Kristo)....Mwamedi"
Ingawa anamtambua , Yesu wa Biblia sio Issa wa Quran.
 
Audhu Billahi mina shaitwani Rajiimi.

Ukiwa Makka ndo useme maneno hayo, maana kule ndo shetwani anapigwaga mawe ya pua live...tehe..te..heee!

Kwa wasioelewa, huyu bwana anamwomba Ndugu Mwamedi amkinge na Shetwani (shetani).

Sasa kama bwana Mwamedi anaweza kukukinga na shetwani, yaonyesha wazi kwamba yeye anawajua saaana mashetwani hao, na ndo maana ana uwezo wa kuyashauri yakae mbali na mwanzisha thread!...inatisha!
 
Kama hujui uliza uambiwe.

Namuomba Allah anikinge na nguvu za shetani. Sijamuomba na wala sita muomba Mohammad S.A.W kwa lolote. Mimi namuomba Allah pamoja na waislamu wote tunaomba Allah.

YAA ALLAH NIKINGE NA HAWA MASHETANI wnaotaka itia dosari safari na hatimae Hijja yangu.
 
.

Hafif, Inshallah kwa uwezo wake Allah utakwenda, utahiji na kurudi salama usalimini na Allah ataipokea hija yako na jamii yako pia. Hii ni mitihani midog midogo, Mtangulize Allah kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom