Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za mwisho wa wiki wana Mahusiano na Mahaba.
Wiki iliyopita nilienda kwenye ofisi flani kupata huduma, nikiwa kwenye foleni akapita baba mmoja mtanashati tuu na yeye alikuwa anapata huduma pale. Tulikuwa wateja wengi ila kwanini nilizubaa kwake sababu ya muonekano wake kuanzia mavazi, tembea ongea, manukato, ile kuangalia taswira ndo nikakumbuka kumbe ni Allen....
Nikaanza kuvuta taswira nyuma ya wale wanaume wangu kwanini wote walikuwa na asili ya kanda ya kaskazini ila siku hiyo pia nikatambua wote walikuwa handsome man kwelikweli, nikisema handsome ujue taswira zao walifanana na mama zao...
Nikajikuta najiuliza, je nilikiwa nachagua wanaume mahandsome tuu nikasema hapa ilikuwa inatokea tuu...
Kisha nikajiuliza tena, mbona Kasinde mie sikiwa mrembo mithili ya kina Wema Sepetu au Lulu Michael au Lavy Makeup??..!!! Ilikiwaje sasa ma handsome kwa nyakati tofauti wote wakawa na mahaba na Kasinde...!!??
I know the beauty is on the eye of the beholder, though asili ya kisomali ilinipa credit wakani niko mschana ila sikuwa mschana wa kumfanya handsome man anitolee machozi kunipata....
Well yes, wa humu JF niliomahabika nao wote ma handsome wakiongozwa na dash dash, Ticha Jael......et al.
NB: sijataja mtu, sijanyooshea mtu kidole, sijamsimanga mtu. I just voice out my mind.
Picha angalia avatar yangu na nyingine niliweka kwenye nyuzi zangu za zamani.
Granny Matata.