Accessories 1
Member
- Feb 17, 2019
- 31
- 27
- Thread starter
- #41
Mkuu samahani niko safarini kuna mahali nafika network haiko sawa nitajibu maswali yote
Mkuu bei ya jumla ni tofauti na reja reja mtu aliyeniuliza 1pc ni tofauti na 10 pcsWw utakuwa na tatizo mahala huwezi sema bei rahisi Sana afu unauza camon 11 350k.... Wakati kariakooo hata kwa 300k unapata
Hiyo ni whole sale ama reja rejaKariakoo Tecno Camon 11 ni 320,000
Mwanza nakuletea mwenyewe nakupatia sim unanipa cashMwanza ofc zpo sehem gan
Infinix Note 4 ni bei gan kkoo?Kariakoo Tecno Camon 11 ni 320,000
Kama ni nyingi 17200 bossHzi it2160 jumla unauzaje kwa kila pc?
Hiyo ni whole sale ama reja reja
Oky, nitazingatia boss.Ikizidi hiyo camon 11 ni 345,000 China Plaza.
Bei zako ziko juu. Hata hizo za button bado bei sawa na kkoo tu.
Ushauri: Fanya utafiti vizuri wa soko la bidhaa zako.
RejarejaHiyo ni whole sale ama reja reja
Kwa infinix sijui.Infinix Note 4 ni bei gan kkoo?
Iko sandisc 8gb 11000Flash disk 8gb na 16gb bei ghani?: bei ya jumla
Hii 315,000 bossSamsung J4 plus
Sawa tu na bei ya hukuIko sandisc 8gb 11000
16 gb 12000
Hii ni 365000 bossINFINIX S3, 4G, Internal memory 32GB, double line, camera 20/13, RAM 3
Iko oppo A3s 300,000Inahitajika OPPO A37f
Hii sina bossNipe bei ya galaxy J7 pro 16gb black colour
Hii sina bossSamsung galaxy A5 bei gn?
Hii sina uzoefu nitauliza bossEpson printer ,Kuanzia L850 ni sh np?
Mbona bei zako na za dar ni sawaInfinix note 4
350,000
Camon 11
350,000
Techno spark 2
255,000