Hizi simu unanunua Nairobi ganiInfinix note 4
350,000
Camon 11
350,000
Techno spark 2
255,000
Moshi simu bei chee kuliko Dar hasa zile ambazo zinatoka NRMkuu ni kweli kabisa. Niliwahi kununua simu Moshi ni bei ya kizalendo na imedumu sana.
Natamani nijue hayo machimbo ya simu za bei nafuu hapo jijini Nairobi
vip mkuu bado mnauza simu hizo?Sina duka ya simu kkoo, kuna duka ya nguo ambaye ni agent wangu pia.
Duka simu liko Mbagala
Simu ndogo kwa jumla
Itel 2160= 17500
Itel 2171= 21000
Tecno 349= 24000
nk
Hiyo advance ni % ngapi?Utakwenda ofisini ulipe advance ( ili tujue uko serious)
then simu ikija utaimalizia na kuchukua hapo hapo ofisini.
Duuh.. kwa hiyo ww una deal na brand za kilugaluga pekee?Ziko nyingi mkuu
Tecno
Infinix
Itel
Memory capacity yake ngapi?Samsung J4 plus