Ndeke afwege
Senior Member
- May 20, 2014
- 154
- 48
Anaitwa Najenjwa Elibariki alihitim mwaka jana CBE kwa mara ya mwisho tulionana morogoro yeye akiwa field TRA.... Kama unasoma ujumbe huu au mtu yeyote anayemfaham dada huyu naomba tuwasiliane. Aje Pm