babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 321
Acha utan mkuuAna mimba yupo huku manyovu
wewe kuna halima lyau ambae nlisoma nae mbezi beach primary school..jaman namtafuta sana,au ndo huyo? alikuaga bonge hiviNamtafuta best yangu ,wadepo wangu halima Ali lyau
Tukikutana jkt 838 op kikwete 2015 kwa mujibu wa sheria
Yeye alimaliza tusiime na akachaguliwa St Joseph kama unaona post hii njoo pm nimekumis Dada
Ni rafk yangu wa kawaida tu wakuu
Ana macho ya kurembua AF maji ya kundewewe kuna halima lyau ambae nlisoma nae mbezi beach primary school..jaman namtafuta sana,au ndo huyo? alikuaga bonge hivi
ndiyo macho yake makubwa kidogo..af ana roho nzuri mwenyewe..jamani ulishagampata?Ana macho ya kurembua AF maji ya kunde
Nlisikia aliachaga chuo akaaajiliwa TdpfNamtafuta best yangu ,wadepo wangu halima Ali lyau
Tukikutana jkt 838 op kikwete 2015 kwa mujibu wa sheria
Yeye alimaliza tusiime na akachaguliwa St Joseph kama unaona post hii njoo pm nimekumis Dada
Ni rafk yangu wa kawaida tu wakuu
Tpdf au tdpfNlisikia aliachaga chuo akaaajiliwa Tdpf
Bado AF nakumbka aliwahi niambia kwao ni mbezindiyo macho yake makubwa kidogo..af ana roho nzuri mwenyewe..jamani ulishagampata?
yeah..jamani nayeye alikua anaishi mbezi beach kota za b.o.tBado AF nakumbka aliwahi niambia kwao ni mbezi
Ndo huyohuyo mana alinambiaga mshua yupo b.o.t,yeah..jamani nayeye alikua anaishi mbezi beach kota za b.o.t
Sasa unamtafuta huyu au mjukuu wangu emmyta ?Namtafuta best yangu ,wadepo wangu Halima Ali Lyau
Tukikutana JKT 838 op Kikwete 2015 kwa mujibu wa sheria.
Yeye alimaliza tusiime na akachaguliwa St. Joseph kama unaona post hii njoo pm nimekumis dada
Ni rafki yangu wa kawaida tu wakuu
Huyu rafk yangu tu ila emyta kama hana mume nataka nimuoe
jamani i miss my shost doh...nmemsearch social networks bila kufanikiwaNdo huyohuyo mana alinambiaga mshua yupo b.o.t,
Mara ya mwisho alinambia yupo st Joseph ya darjamani i miss my shost doh...nmemsearch social networks bila kufanikiwa
anhaMara ya mwisho alinambia yupo st Joseph ya dar
Alisoma kombi gan A level kama kweli ndiyeHuyo demu nimesha piga sana mzingo pale... Sasa hivi yupo masomoni Canada anasomea mambo ya Uchumi