Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,756
- 239,421
Mrisho Mpoto ni kati ya wasanii wa Tanzania waliotumika , kujituma , ikiwa ni pamoja na kutumikishwa na CCM kwa kiwango ambacho hakimithiliki
Nimemsikia na kumuona akilalamika kupotea kwa ROMA MKATOLIKI , msanii namba 1 Hip hop Tanzania , Nikashangaa!! Hivi unawezaje kukitumikia chama ambacho hukifahamu kwa kiasi hicho ?
Ni hivi , CCM ni kikundi ambacho kiko tayari kufanya chochote , kununua , kutisha , kutesa , kukamata mtu yeyote kwa kuwatumia watu wao ili kuhakikisha inasalia madarakani , mtu yeyote anayeonekana kupinga mikakati yao kwa namna yoyote atakuwa matatani .
Kwa kitendo chako cha kujitokeza hadharani kujaribu kumtafuta Roma ni sawa na kusaliti msimamo wa mabosi wako , Muulize Nape.